Hili ni kwa watalamu wa Ving'amuzi na Satelite Dishes, ufafanuzi tafadhali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili ni kwa watalamu wa Ving'amuzi na Satelite Dishes, ufafanuzi tafadhali!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mrimi, Jan 12, 2012.

 1. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wakuu kuna vitu vinanichanganya sana, naombeni ufafanuzi kidogo kabla sijaingia mkenge. Kuna receivers ambazo ni MPGE4 compatible na MPGE2 ambayo ndiyo mimi natumia(Mediacom 930+). Tatizo ninaloona ni kwamba ina uwezo mdogo sana kwenye kutapata channels hasa fta. Kuna mtu aliniambia kwamba kuna fta channels nyingi ambazo ningeweza kutapa ikiwa receiver yangu ingekuwa na uwezo wa MPGE4. Hapo hapo kuna jamaa yangu alitoka Finland na receiver ambayo ni MPGE4 lkn mpaka sasa mafundi wetu wameshindwa kuinstall, imekaa tu ndani kama pambo.

  Ombi langu nahitaji kujua yafuatayo:

  1. Je, ni kweli kwamba MPGE4 na MPGE2 zina tofauti, na kwa kiasi gani?
  2. Je, ikiwa MPGE4 inaweza kushika fta channel, maximum hapa kwetu naweza kupata ngapi?
  3. Je, hiyo MPGE4 nayo itatumia satelites hizi tunazotumia kwenye MPGE2?
  4. Nasikia kuna baadhi ya receivers zina uwezo wa kufungua scrambled channels,je hiyo inawezekana?

  Mtanikosoa kama nitakuwa nimekosea vitu kadhaa hapo juu kwani mimi sio mtalamu wa mambo haya.

  Nawasilisha....
   
 2. m

  mankind Senior Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  receiver za mp4 na mpeg 2 tofauti yake ni format tu ,kuna channel zilizo ktk mfumu wa mpeg 4 na 2. Receiver ya mpeg 4 ina uwezo wa kupokea channels zote yaani za mp4 na mpeg 2 ila za mpeg2 zinapokea za mpeg2 tu. Kama unataka kununua mpya go for mpeg4.
   
 3. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kama unataka kununua receiver zinazoweza kufungu scrambled channels nunua decoder inayoitwa Strong.Ukipata MPEG4 itakuwa vizuri.Kufungua scrambled channels itakulazimu kusearch BISS KEYS kwenye internet kisha utaziingiza ndipo channel itafunguka
   
 4. N

  Ndole JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kaka una maswali kama ya kwangu. Hebu wataalamu watufafanulie kama hapa Tanzania tunatumia mfumo gani wa digital? Mimi nataka kutmia DVB-T MPEG4 sasa sijui kama hivi vingamuzi vyaweza fanya kazi hapa kwetu. Kaka wewe hicho king'amuzi ni cha mfumo gani? T au S
   
 5. N

  Ndole JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Halafu nimefuatilia kwenye net naona Tanzania(Zanzibar) tumeadopt DVB-T2 tarehe 25/11/2010. Je kuna tofauti gani kati ya DVB-T na DVB-T2? wajuzi tunaomba msaada wenu hapa kabla ya kuingia mkenge.
   
 6. networker

  networker JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  nilikuwa na tatizo la kushka chanel chache kama nyinyi nika ambiwa ni nunue dish kubwa nika nunua .ila the same thng. Nika ongeza LNB kwny dish chanel zikaongezeka .hadi sasa nimefunga LNB 4 na frqcy na zipata hapa www.flysat.com.naziweka mwnyewe na search .nina chanel zaidi ya 100 fta. Na badhi ya chanel za ku pay mfano nat geograph kuna postion nikiweka dsh ina shika sema kubadili position sio vzuri chanel zngnd zta potea..skumbuki aina ya reciver ila ni DVB .mediacom. Kwa mimi nakushauri nunua lnb nyingne weka mwambie fundi afanye configrtn.kila LNB inakuwa asigned specific satelite. .mfano 1 inashka free 2 air ya Tz. Nyingne arab nyingne sauz.etc
   
 7. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu mie natumia sim so siwezi weka link ila pitia pitia kuna thread moja inahusu mambo ya utangazaji wa analog kwenda digital hapo utapata majibu ya hayo maswali yako msiwe wavivu wa kupitia thread za wadau majibu mangine utayapata.
   
 8. S

  Sambuka JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hizo za south ninunue lnb gani? Mi hapa nna C band pekee na vp za kenya nimeambiwa nitafte KU band, nawezazishika bila ya kugeuza dish? Coz sitaki na hizi za bongo zipotee
   
 9. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu kama utakuwa siyo mvivu wa kupitia thread za wadau hapa jamvin hayo maswali yako watu washayaimba sana hapa mpaka jinsi ya kuchakachua dstv na kutumia bure.
  Jinsi ya kuangalia epl na ligi mbalimbali buree aina ya receiver nazan walijuza kuwa ni strong mp4 .
  Na kuna aina ya receiver ambayo kuna mdau aliwahi kuielezea kuwa inauwezo wa kuonyesha scrambed chanel zoote.
   
 10. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  umeweka dish la futi ngapi?pia risiva yako ni media com ya 930 au 910 au ipi?msaada ili nami nipate nafuu.
   
 11. S

  Sambuka JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari ndugu!
  Sasa leo nimefunga lnb ya kU nimeielekeza kulekule East ilipo ya cband za tanzania, nimeweza kupata Kbc, K24, familyTV, wbsTV na StarTV ile mpya ya Dsm, naomba kama umefunga lnb hiyo na imelink huko kama unazo frequenc zingine mnipatie..
   
 12. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wakuu sema bongo yetu net ya kusua sua sana, kama mngekuwa mnaweza au hamtumii package kwa ajili ya internet i mean ni unlimited then kuna box linaitwa Maxx100 na unaweka na dish lako nje sio kubwa sana la kati tu linatosha, then hilo box una connect kwenye net , basi hutoenda enda baa tena kupigizana kelele na mtu, kama EPL wanacheza timu sita kwa siku then zote unazipata unachagua, ila lazima box liwe connected kwenye internet maana saa zingine key zinakuwa blocked then lenyewe box kupitia ile net yako zina ji un block huna haja ya kwenda kwenye internet na kuangalia key...ninalo hilo box kwa miaka 3 sasa silipiii na wala sijawahi kusumbuka nalo hata kidogo na hata kukiwa na champions mipira yote napata, so napendekeza kama wadau mnaweza.
   
 13. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,643
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Tafadhali tupia hapa frq hizo za StarTV hiyo mpya yaDsm na WBS TV
   
 14. S

  Sambuka JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Weka
  FREQ 11511 SymboL Rate 4080
  7/8
  maranyingi Asubuh ndo wanakua hewan hadi mchana, ue unajarib jaribu tu utawapata,
   
 15. T

  T.K JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu kama unaweza nielewesha vzr jinsi inavyofanya kazi na wapi nitaipata......kama huwezi kumwaga hapa nime ku-PM
   
 16. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Yeah nimekujibu PM yako
   
 17. S

  Sambuka JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yanini tena mambo ya PM waungwana? Tuwe wawazi tuu au mna agenda gan?
   
 18. T

  T.K JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Thanx nimeipata..
   
 19. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  labda wanaton.......! sio bure mambo ya
  PM tena.
   
 20. S

  Sambuka JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ninunue LNB gani kati ya C- BAND ama KU-BAND ili nipate kuona Channel za bure zenyekuonesha MPIRA na MOVIE za NIGERIA + MZIKI,
  Itayoendana na uelekeo wa (East) wa dish langu bila kupoteza hizi zakibongo?
   
Loading...