Msaada: Kubadili lugha kwenye movie maker

Msaada: Kubadili lugha kwenye movie maker

Blue Bahari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
2,253
Reaction score
2,982
Nimepakua na kusimika "window move maker".Lakini nimeshindwa kuanza kuitumia sababu ya lugha iliyomo ktk app hiyo (sijajua ni lugha ya kihispaniora au kifaransa wala mi sijui) na si kiingleza au kiswahil ambazo nazielewa.

Nimejaribu kutafuta sehemu ya kubadili lugha sijaiona sababu sehemu zingine nashindwa kusoma kwa lugha iliyowekwa.

Wajuzi naomben maelekezo ya jins ya kubadili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom