Habari
Naombeni MSAADA nahitaji custom domain kwa ajiri ya blog yangu ila tatizo sina visa card VIP kuna njia yoyote naweza ipata passipo kuwa na visa card
Hbari wadau nina Nokia lumia 830.Kioo kinarespond vizuri ishu i zile button tatu za chini yaani search, home na return hazirespond.Nimeifungua na kuweka weka ikanda bado hazirespod.Nimepeleka kwa...
MABADILIKO kwenye mtandao maarufu wa simu, WhatsApp, yataanza rasmi leo wakati kipindi cha siku 30 cha kukubali masharti mapya kitakapomalizika.
Mabadiliko hayo yanawataka watumiaji kusambaza...
Juzi wakati naendelea na utundu utundu wa simu nkajikuta naweka rom ya h6 kwenye TECNO p5....... Ikafanikiwa kuflash lakini tangia hapo inawaka lakin hata Maneno mf TECNO hailet...
Salaam JF.
Jamani kuna ndugu yangu kanitumia router na Adsl box plus ethernet cable na mobile kutoka Uk, sasa nimekukuruka kutengeneza wi-fi iliniweze kusambaza lakini nimeshindwa inaonyesha kule...
Kwa wanao fahamu frequency wanazotumia startimes kurusha matangazo yao mkoani Mbeya naomba kuzijua.
Hizi ni baadhi nilizofanikiwa kuzipata
DVB-T
Agape(ting) 530Mhz bandwidth 8mhz
Agape(ting)...
Jamani nashida moja ni mtumia mzuri wa internet ila kuna baadhi ya watu wanatumia kwa faida ila me kama mb zangu zinaenda bure kama nilivyosema hapo juuu how to make money with Facebook page...
Snapchat/youtube
Good morning. Here is everything you need to know in the world of advertising today.
1. Snapchat is now called Snap Inc. The company has rebranded because it is more than...
Naomba msaada wenu wa mawazo.
Ninayo water pump zile zinazoingizwa ndani ya kisima cha maji.
Sasa tatizo lililopo motor yake inazunguka ila maji haipandishi inapandisha kidogo halafu inagoma ila...
Kama kichwa cha habari hapo juu nimekaa na na kuwaza bila jibu ni nini kimewafanya watengenezaji wa cm za tecno kwenda kufanya usinduzi wa simu zao Dubai.
Je ni kutangaza masoko au ni teknolijia...
yahoo yasema imedukuliwa na wadukuzi na wameiba information za watu zaidi ya milioni 500...
Yahoo says hackers stole information from about 500 million users in 2014 in what appears to be the...