wakuu salama humu? Leo naomba hobbylist na wana tech wote tudiscuss kuhusu electronics haswa haswa juu ya sensors je umewah kukutana na sensor ipi ikakuumiza kichwa kufikiria kina namna gani...
Tv yetu leo nimejaribu kuigonga kwa mkono tu kwenye screen ikalia kama plastic flani hivi kama kopo la plastic, je ni tv zote za lcd screen zake ni plastic?
Wadau husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Nimeona tangazo la star Times kua kuna channel mpya ila mi kwangu siioni. Channel no.221 ambayo ndo wanasema ipo mi kwangu ni nat geo e, na ni...
password 25 ambazo hutakiwi kutumia kabisa katika akaunti zako kwa mujibu wa SplashData.
Ngoja tukumbushane wale wanaopenda kutumia password rahisi kama majina yao, 1234, 12345678 au qwertyui...
Kila ninapoingia whatsapp kinatokea kidude hicho kama sign ya smile, kilichopo hapo juu ya charts. Kitu gani hiki wakuu? Au ndo nadukuliwa?
Msaada tafadhali.
Kufuatia kile kinachoitwa kuishiwa pumzi kwa simu za samsung note 7 ambayo ni flagship ya 2016-017,sasa ni dhairi mpinzani wake mkubwa apple atazidi kupaa ktk smartphone market huku na kuliteka...
Tafadhali msaada kwa yoyote mwenye kufahamu anisaidie;nimedownload movie lakini imekua zipped na RAR programme kila nikijaribu ku extract inafungua na kuleta faili lakini napojaribu kulihamisha au...
Naitaji ku live stream local channel kama AZAM TV 2 na HD pia ku live stream channel zingine mfano zilipo MOBDRO kwa kutumia ANDROID ,Mimi nataka kutumia PC nifanyeje?
Leo kuna mtu kanitumia kanitumia msg zangu za whatsapp:(:(:(:( . Kanituma link hii ya application hii https://goo.gl/c6Oaox aliotumia,sasa nimejaribu masaa 4 sasa bila mafanikio.Anaeweza itumia...
Msaada wetu wadau jana katika kutumia simu yangu nimekutana na kitu kikanishtua sana. Kwenye email set up nilikuwa najaribu kuupdate kwenye computer sasa kilichotokea ni pale nilipoona Google...
Habari
Ndugu wataalam wa ku design templates za blogger na hitaji tufanye kazi hapa kwa mtu anaeweza kufanya kazi hii.
nimeipenda template hapa na nina penda niweze kuitumia katika blog yangu...
Wakuu naamin mnaweza kunisaidia natumia simu ya Samsam J1 ila kuanzia jana kuna tatzo limetokea niktuma msg watsup haziend wala kupokea sms watsup pia upande wa Opera min haifunguki kabisa...
Bye bye whatzupp ?!
Now introducin new app called TELEGRAM with highspeed msg delivering capable to send files up to 1GB, nd also it features to share Word nd powerpoint files... group capacity...