Kwanini Mende hafi kwenye Microwave??

Kwanini Mende hafi kwenye Microwave??

Kama joto la Kinyesi chooni tena kimefunikwa hawafi basi hakuna Microwave ya kuwaua kinyesi huwa chamoto sana lakini huwa hawafi.
 
Hawaze kufa sababu microwave inapasha chakula kwa waves zile sasa sehem ambapo kunapata heat Ni katkat tu mende always wanakaa kwa pembeni
Ukifanikiwe kuweka mkono wako pembeni hutaungua?
 
Microwave haitoi joto, ila inafanya liquid molecules kwenye chakula husika to vibrate causing heat.
Ndio maana hata ukiweka kitu cha plastic hakiungui unless kile kilichomo kipate joto la kukiunguza
 
Microwave haitoi joto, ila inafanya liquid molecules kwenye chakula husika to vibrate causing heat.
Ndio maana hata ukiweka kitu cha plastic hakiungui unless kile kilichomo kipate joto la kukiunguza

Mende hana liquid yeyote?

Vp hakuna joto lolote mle ndani la kumuua mende?
 
Microwave haiwaki ikiwa open hata siku1 , ndio hautaungua
Assume umefanikiwa kuweka kidole mle ndani pembeni, utaweza kuhimili joto na mvuke unaoivisha chakula?
 
Mende hana liquid yeyote?

Vp hakuna joto lolote mle ndani la kumuua mende?
Hiyo ya mende kwenye microwave sina hakika, lakini microwave haitoi joto ndiyo maana inaitwa microwave inatoa waves znazofanya liquid molecules to vibrate
 
Mende wanaweza kuishi kuwa katika microwave hata kama imewashwa kwa sababu siyo sehemu zote za microwave zinakuwa na joto. Badala yake, microwave hotoa miale ya joto eneo la takriban 7.5cm ambalo memde huliepuka na kukaa nje ya eneo hilo lakini ndani ya microwave...
 
Back
Top Bottom