Channel mpya Star Times; National Geo

Channel mpya Star Times; National Geo

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Wadau husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Nimeona tangazo la star Times kua kuna channel mpya ila mi kwangu siioni. Channel no.221 ambayo ndo wanasema ipo mi kwangu ni nat geo e, na ni kifurushi cha uhuru, sio mambo kama wanavyotangaza. Ni kwangu tu au hii channel mpya ni kwa wenye dishi?
 
National Geo si ndio NATGEO? Au mimi niaelewa tofauti?
 
Hata Miye Kwangu Haionekani Japo Kifurushi Nilichonunua Ni Tsh 12000/-
 
Hivi ni chaneli ngapi zinazotazamika kwa hapa kwetu kwa decoder za satellite? I mean kwa kifurushi cha bei ya juu kabisa,sijui ndo hiyo Uhuru au mambo,sielewi.
 
star times ni wazushi sana.. nimeona hilo bango lao lakini hamna channel kama hiyo kifurushi cha mambo wala uhuru.. after all jamaa ni matapeli,kwa sasa ni vin'amuzi vya local cctv kwa kwenda mbele aisee..
 
Back
Top Bottom