emma115
Senior Member
- Apr 28, 2012
- 135
- 167
password 25 ambazo hutakiwi kutumia kabisa katika akaunti zako kwa mujibu wa SplashData.
Ngoja tukumbushane wale wanaopenda kutumia password rahisi kama majina yao, 1234, 12345678 au qwertyui au majina ya sehemu wanazotokea. Aina hizo za password hazifai kabisa kutumika katika akaunti zetu.
Hebu tuangalie orodha ya password mbaya zaidi ambazo hazifai kutumiwa kwa sababu zimekuwa rahisi zaidi kudukuliwa na wadukuzi.