habari za muda huu wadau ningependa kufahamu bei ya betri la iphone 5s coz nahis kama betri la kwenye simu yangu limekufa... huku mkoani nilipo hakuna maduka yanayouza hizo betri za aina hiyo hivo...
A group of scientists in Vienna, Austria have launched a plan to create a peaceful nation of its kind that would have Asgardia name.
The nation will be created in outer space, location.
Details...
Kwenye dunia ya leo simu za Android imekuwa kitu muhim sana zaid ya kuzitumia kwa mawasiliano bali wengine zimekuwa ni office zake kabisa. hutumia kuhifadhi vitu vyetu vingi nyngine ikiwa ni siri...
Naomba mnisaidie, nipo ninapiga mashine yangu window 7 ila inagoma kuformat disk ambayo window inatakiwa iingie.
Pili ukinext inaanza kukocopy files na ku expanding Windows files mpaka 100% ila...
Uraibu wa mitandao ya intaneti unaweza kuwa chanzo cha magonjwa mengine ya akili, ripoti inasema.
Utegemezi wa mitandao hiyo unahusishwa na sonona, wasiwasi na mfadhaiko hivyo kuathiri uwezo wa...
Kama unatumia Samsung uwe makini, sio kwa watumiaji wa Samsung note7 tuu.
Hyo video ni ya mtu aliyekipukiwa na Samsung note3 wakati akiwa anaendesha pikipiki.
I am developing an application which needs a user to input his/her postal address during registration.
I have broken the input into two fields: postal address and postal town/city as shown below...
Ndugu wanajamvi, habari...napenda kuulizia kama kuna uwezekano wa kurekebisha external hard drive iliyodondoka na sasa haisomi ila inavibrate tu na kutoa "clicking-like sounds' inapochomekwa...
habar wakuu? nahitaji msaada jana nimetumiwa scanned documents kupitia gmail,ambapo hizo docs zang zpo katik pdf,so jamaa alipozisend zilikuja,katik google drive kwasabu zilikuwa na size...
Habari zenu wakuu
kwanza kabisa natanguliza shukrani kwenu nyote.
Nimekuja niwaombe mnielekeze kwenye duka la samsung official liko wapi kwa hapa Dar es salaam?
Chief-Mkwawa Naomba msaada SIMU BORA
Naomba unichagulie simu bora ya kununua bajeti yangu Tsh 0.8mln up to 1.2mln napendelea sana double line kwajili ya kupunguza uzito mfukoni.
History yangu...
I have a one month old Galaxy Note 1. Yesterday, I woke up to a "Disconnected Battery" warning. The battery didn't charge overnight due to this warning. Looked around this forum and didn't see...
Virtual private network.... Wakuu habar yenu hum ndan... Kila siku nakiona hiki kitu ila... Uvumilivu umenishinda... Mwenye uelewa na hii mambo anijuze jinc ya kuitumia...
Dah halotel sasa mumezidi,yani mtandao umekua na spidi mbovu kupita kiasi mpaka kubrowse tu imekua shida na kustream ndio usiseme yani utakuta buffering kibao.Hivi tatizo lipo wapi wakuu maana...