2in1
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 224
- 109
Dah halotel sasa mumezidi,yani mtandao umekua na spidi mbovu kupita kiasi mpaka kubrowse tu imekua shida na kustream ndio usiseme yani utakuta buffering kibao.Hivi tatizo lipo wapi wakuu maana kipindi cha nyuma halotel ilikua na speed amazing sana kwenye simu yangu sasa sijui sa hiv tatizo ni nini,nimejaribu kutumia access point zote hizi ila haijasaidia kitu