wakala wa samsung

wakala wa samsung

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Habari zenu wakuu
kwanza kabisa natanguliza shukrani kwenu nyote.

Nimekuja niwaombe mnielekeze kwenye duka la samsung official liko wapi kwa hapa Dar es salaam?
 
Habari zenu wakuu
kwanza kabisa natanguliza shukrani kwenu nyote.

Nimekuja niwaombe mnielekeze kwenye duka la samsung official liko wapi kwa hapa Dar es salaam?

Kaka unataka uwarudishie note saba
 
Back
Top Bottom