Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,153
- 6,278
habar wakuu? nahitaji msaada jana nimetumiwa scanned documents kupitia gmail,ambapo hizo docs zang zpo katik pdf,so jamaa alipozisend zilikuja,katik google drive kwasabu zilikuwa na size kubwa,lakini mim nikitaka kuziangalia au kufungua naambiwa niombe access,au ruhusa ya kuzifungua ati ili niweze kuziona katka drive nimejarbu mar kadhaa wananmbia acces request sent to an email,nkiendlea kufngua znagoma bado.so nauliza kwamb hyo access ya kuziona natakiwa nipewe na allentumia hizo docs au na wao gmail au gdrive?? naombeni msaada kwa alewahi kutmia hii njia.
[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG] wakuu
[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG] wakuu