Jinsi ya kuweka report google ziwe zinasomwa na watu mbalimbali

Habari naombeni msaada ni jinsi gani naweza weka mfano research ili mtu yeyote akiingia ntandaoni anauwezo wa kuisoma
Google huwa haina hayo mambo, yaani siyo user generated contents. Wao kama wewe una research article ambayo iko published automatically itaonekana kwenye google scholar etc. Kitu unachoweza kufanya unaweza kujisajili google citation, then jina lako litakuwa linked na publication zako zote.
 
So natakiwa kuhifadhi wapi Ili nikijisajili inakuwa rahisi kusomwa
 
Kuna website mbalimbali kwa ajili ya kuweka(ku publish) research zako.

1. Google scholar
2. Researchgate.com
3. Academia.org
4 . Elsie vier.com
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom