Msaada: Simu bora kwa bei ya 0.8 - 2.0 milions

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,119
Chief-Mkwawa Naomba msaada SIMU BORA

Naomba unichagulie simu bora ya kununua bajeti yangu Tsh 0.8mln up to 1.2mln napendelea sana double line kwajili ya kupunguza uzito mfukoni.

History yangu na simu, niliwahi kutumia simu zifuatazo:

1. Samsung Grand Duos miaka 3 – Internet slow sn

2. Samsung S6 miezi 8 - Ttzo kuchemka saana wakati inatumika

3. Samsung A8 miezi ninayo – Tatizo KUPOTEZA network inabidi washa zima mara kwa mara

Naomba kwa uwelewa wako nichagulie simu nzuri ilioko sokoni ninunue

Napengelea sana ku surf mtandaoni sana, Whattsapp, email , JF, Ila sina tabia ya kutunza music au movie hapana labda pics na movies za whatsapp tu
 
Nunua Tecno L6 iko poa sana. Kuna Jamaa anauza 200k
 
Kanunue kiwanja chanika. Achana na misimu ya bei kali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom