Cube Operator (Electrical)
Job Description :
Reports To: Production Manager
Serengeti Breweries Limited (SBL) is a fully integrated beverage business in Diageo Africa (supply and demand for beer...
Jamani naombeni kuuliza kwa waliowahi kufanya interview katika kiwanda cha viatu cha Moshi, maana tangu interview kufanyika tumesubiri mpaka leo kwa mwenye taarifa zaidi anijuze.
Kama nilivo andika juu apo Mimi ni mutaalamu wa markerting naweza kuifanya kampuni ambayo unamauzo yake madogo kila siku kuwa makubwa kwa kutumia method za kisasa ambavyo zitaweza kufanya product...
Kwa anayehitaji huduma ya MS WORD EDITING, kufeed data kwenye Excel na kazi zote za kwenye EXCEL karibuni.
Pia mwenye kazi za Data entry karibu
Nicheki +255744532492
Sent from my SM-J500H using...
Wakuu bila Shaka hamjambo humu!
Huyu dogo nimekutana nae mtaani ila kwa haraka nimegundua Huyu kipaji cha utangazaji anacho ila anahitaji mtu wa Kimsaidia ili afikie ndoto yake kwani hajui hata...
Wanatafutwa wahudumu wawili 2 wa Bar iliyoko Goba jijini Dar-es-Salaam.
Sifa za muhudumu:
1. Awe na Lugha nzuri kwa Wateja
2. Awe na juhudi katika kazi
3. Awe tayari kuishi katika hostel ya...
Habarini za mda huu JF members,
Naomba kuuliza, hivi maombi ya kazi yanayohitaji kutuma taarifa/maombi kupitia Email zile nyaraka(documents?) Huwa unatuma mojamoja mfano; unatuma PDF ya barua...
Habarini...
Nipo hapa kutafuta kazi wana jf...
Nina bachelor degree ya Business Administration in Marketing Management,ila kazi yoyote iliyo ndani ya uwezo wangu niko tayari kufanya.
Hali imekua...
Mimi ni graduate wa Bachelor Degree of Business Administration in Marketing. Natafuta internship au kazi kama Customer Care, Sales Officer au Marketing Officer. Mwenye connection au atakayeweza...
Mimi mwanafunzi niliyehitimu mafunzo ya VETA katika fani ya ujenzi level 2 mfumo wa CBA 2013, ninauzoefu katika fani hii katika kisimamia kazi( siteforeman) miaka mitano, ninaomba Kama kuna kazi...
Habari za Siku Viongozi,
Kitaaluma mimi ni Muuguzi na Mkunga niliyehitimu mwaka Huu 2020.
Ninaweza kufanya kazi katika Hospitali ngazi zote, dispensary.mashirika ya afya kuhusiana na research...
Salaam Jf.
Mambo yamekuwa magumu sana mtaani mpaka siyo vizuri but ukizaliwa mtoto wa kiume ni lazima upambane.
Kwanza kabisa yapata mwezi wa saba 2020 nilikuwa na biashara yangu ya kibanda...
Habari wana JF,
Nahitaji kufahamu vigezo anavyotakiwa kuwa navyo anaeajiriwa kuwa Cashier wa supermarket.
Pia nahitaji kutambua je,mtu yeyote anaweza ajiriwa kuwa Cashier hata kama hakusomea...
Terups Familly Wanayofuraha kutangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo
1) HOUSE MANAGER ( Nafasi 3)
SIFA ZA MWOMBAJI
-> Awe jinsia ya kike na awe Amesomea MAPISHI au.
Food&Beverage Production Au...
Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises LTD, inayomiliki tovuti ya Global Publishers, Mitandao ya Kijamii, Global Radio na Global TV ina nafasi ya kazi ya Intern ya Mwandishi Mahiri wa...
Wakuu nawasalimu,
Mimi ni kijana niliyemaliza chuo ngazi ya shahada ya uhandis kitivo cha Elektroniki na Mawasiliano natafuta kazi yoyote nina uzoefu ufuatao:
1. Radio and tv transmission 3...
Habari wana Jf kwa mwenye kulifahamu hilo kampuni naomba msaada tafadhali kujua kama ni matapeli ama la kuna kazi walitangaza mwezi wa tisa Admin Officer Tanzania wamenitumia email kuwa nimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.