Watanzania ni wamoja, naomba tuinuane!

Watanzania ni wamoja, naomba tuinuane!

Kamnyomo

Senior Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
128
Reaction score
186
Salaam Jf.

Mambo yamekuwa magumu sana mtaani mpaka siyo vizuri but ukizaliwa mtoto wa kiume ni lazima upambane.

Kwanza kabisa yapata mwezi wa saba 2020 nilikuwa na biashara yangu ya kibanda chips huko Morogoro lakini Wezi walaaniwe waliamua kunirudisha nyuma kabisa na kama siyo kuanza zero.

Mungu yu mwema,nikapata connection ya kukata kuni huko Msanga Pwani ili niweze kurudi kwenye biashara lahasha mzigo haujatoka shamba mpaka leo. Mambo yamezidi kuwa magumu sana full stress.

Naomba kwa yeyote atayeguswa aweze kunisaidia kibarua/ajira yeyote (Kazi za mikono)niweze kujipanga upya na kurudi kwenye biashara.

Napatikana Viwege Dar es Salaam.

Ahsante!
 
Naweza nika kupa ujuzi wa fursa ya usafi ulio shindikana majumbani kwa watu,Lodges, Hotels,Dispensaries n.k ambapo makampuni haya fanyi kwa ubora huo ya kuku ingizia kuanzia 20000 na zaidi kwa siku kwa mtaji wa 10000 tu una nunua vifaa vyako madukani unaingia kazini .
nitafute WhatsApp 0748062691
 
Mkuu nami naweza kukufuata?
 
Back
Top Bottom