Nahitaji Kazi ya Kujitolea (UUGUZI NA UKUJGA)

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Habari za Siku Viongozi,

Kitaaluma mimi ni Muuguzi na Mkunga niliyehitimu mwaka Huu 2020.

Ninaweza kufanya kazi katika Hospitali ngazi zote, dispensary.mashirika ya afya kuhusiana na research, homebased care , kuuza dawa.

Naombeni msaada wenu nipo Tayari kujitolea kivyovyote vile Nipo Dar es salaam

Sina Leseni ya kazi(Nahitaji kujitolea Tu)

Nje na Fani hii

-Utalaamu wa computer
-collection of Data kwa ajili ya Research
 
Daaaaah. Aisee hii nchi inahitaji kuongeza ajira haraka sana. hizi fani nyingine watu wakishamaliza shule hawapaswi kukaa majumbani wanatafuta ajira kwa kuomba sana. Sekta ya afya ni sensitive area in the country and it needs restructuring.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom