Nina degree ya Business Administration in Marketing Management; natafuta kazi ya kudumu, ya muda au internship

iamgrateful

Member
Apr 9, 2018
35
21
Habarini...
Nipo hapa kutafuta kazi wana jf...

Nina bachelor degree ya Business Administration in Marketing Management,ila kazi yoyote iliyo ndani ya uwezo wangu niko tayari kufanya.

Hali imekua ngumu mno jamani,kua tegemezi inachosha sana
Niko tayari kwa internship pia au hata tempo,yani ili mradi nipate pa kujishikiza popote tu.

Mwenye nafasi popote nikuPM please.

Napatikana Dar
Ahsanteni.
 
Unataka kula sio ujue na ww lazima uliwe kidogo... So uongee kiutu uzima na mahechihara
 
umeenda kwenye usahili ukaambiwa unapewa laki moja kama mtaji .sasa eleza hiyo pesa utaizalisha vipi...?? na wewe hapo ulipo unadegree ya usimamizi wa biashara.
 
Maisha yaanabadirika sana aise; Enzi zile tunamaliza form 4 wakati unasubiri majibu yaani tempo zilikua nyingi tu but siku hizi hadi degree holder tempo bado ngumu; nafikiriaga sana watoto wetu ambao bado tunawazaa.
Mungu atakusaidia mkuu, endelea kupambana, hata hili ulilolileta humu hope litafanya kazi tu.
 
Back
Top Bottom