Natafuta kazi

Yusuph Maimu

New Member
Sep 17, 2020
4
3
Mimi mwanafunzi niliyehitimu mafunzo ya VETA katika fani ya ujenzi level 2 mfumo wa CBA 2013, ninauzoefu katika fani hii katika kisimamia kazi( siteforeman) miaka mitano, ninaomba Kama kuna kazi yeyote inayohusu wasifu huu ninaomba nitaarifiwe jamani wana JF.

Mawasiliani: 0765920084 au 0672574026
 
Jifunze kujenga nyumba, kupaka rangi, gardening e.t.c utapiga hela.....mambo ya kukaa usimamie tu ulipwe utakesha....mambo yamebadilika now.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom