Nina shahada ya Uhandisi ya ElektronikI na Mawasiliano, ninatafuta kazi yoyote

black jeus

Member
Oct 16, 2020
66
174
Wakuu nawasalimu,

Mimi ni kijana niliyemaliza chuo ngazi ya shahada ya uhandis kitivo cha Elektroniki na Mawasiliano natafuta kazi yoyote nina uzoefu ufuatao:

1. Radio and tv transmission 3 years
2. Configuration of 2G,3G na Drive test
3. Computer application, hardware maintanace na kidgo software maintanace na kufundisha

4. Domestic Electrical Maintenance

5. Graphics

Niko tayar kwa kazi yoyote kati ya hizo hapo juu na zingne ambazo naweza kupata maelekezo kidgo kufanya.

Pia, niko tayari kujitolea, intern kwa kampuni yoyote mwenye uhitaji tafadhali naomba ucoment nitakuja PM

Natanguliza shukran wakuu!
 
Hauna bisbisi ndogo na meza na kimita cha umeme? Weka tangzo nyumbani kwenu kuwa wewe ni mhandisi na fundi wa simu, tv na redio nk wateja ni wengi tu mradi usiwe tapeli. Huna haja ya ajira. Shillini elfu nyingi utapata kwa siku.
 
Shukran! hivyo vyote ninavyo,mazingra ninayoishi kwa Sasa ni kijijin na hakuna umeme
 
Back
Top Bottom