Wakuu kwema?
Mimi ni kijana wa kiume muhitimu wa shahada ya elimu tangu 2017, kiukweli nimesota sana mtaani tangu kumaliza kwangu chuo nimefanya kazi za kila aina ili kujikimu lakini kiukweli...
Habari wakuu,
Natumai mu wazima, naombeni kwa mwenye kibarua au anayejua mahali kuna nafasi za kazi anisaidie. Nimesomea kozi ya medical attendant, nimewahi kufanya kazi kwenye dispensary baadhi...
Mwaka jana kuna taarifa zilisambaa kua kuna walimu wa kiswahili wamepangwa kufundisha hesabu,vivyo hivyo hata mwaka huu tutarajie hali hiyo kujirudia. Sababu zinazochangia makosa kama haya ni...
Internally, the Group Director of Finance and Administration will also serve as a thought partner to the Chief Executive Officer and Group Managing Director as a critical member of a small...
Jhpiego is an international non-profit health organization affiliated with the Johns Hopkins University. For more than 46 years now, Jhpiego has empowered front-line health workers by designing...
Habari za majukumu kila mtu kwa nafasi yake, wakubwa Shikamooni.
Nikienda moja kwa moja kwenye lengo langu ni kuwa, mimi ni kijana mtafutaji katika udereva.
Ni dereva mzoefu kwa safari za aina...
POST: DIRECTOR OF PLANNING AND TECHNICAL SERVICES. – 1 POST
POST CATEGORY(S): BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES, FARMING AND AGRIBUSINESS, HR & ADMINISTRATION, TRADES AND SERVICES...
Habari za leo waheshimiwa, mimi ni Mwandishi mzuri tu wa makala na haswa za kijamii.
Kwa yoyote mwenye kuhitaji Mwandishi kwa ajili ya kazi hiyo tafadhali tuwasiliane.
Asante.
POST: LABORATORY TECHNICIAN II – 1 POST
POST CATEGORY(S): WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES
EMPLOYER: Sengerema Urban Water Supply and Sanitation Authority (SEUWASA)
APPLICATION TIMELINE...
Za mida wadau, hii ni kwa watu ambao wapo vizuri kwenye kutengeneza websites pamoja na mobile apps, kwa upande wa pili kama kuna watu wanajua marketing vizuri nawakalibisha, naomba inbox namba...
Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s lives. And that’s a huge responsibility. If you think for a minute about the...
Iwe inahusisha taaluma au nje ya taaluma kama computer nk
Ready to work under any circumstance
Sina leseni, nipo Njombe
Mawasiliano: 0620244200
smwakomo@gmail.com
Baada ya kuhangaika sana kwa mda mrefu kutafuta kazi jana nilipigiwa cm na shirika la Reli(TRC) kuwa nahitajika nifike ofcn kwao Mkoani Arusha.
Kwa mbwembwe na bashasha nikafika ofxn kwao nikiwa...
Habari zenu wote,
Nina umri wa miaka 44 na ninatafuta ajira. Niko kwenye matatizo na hali yangu kiuchumi ni ngumu. Nina uzoefu wa mambo ya stationary, kuuza duka, reception. Ninaishi Kijichi na...
VACANCY FOR THE POSITION OF THE VICE-CHANCELLOR
Introduction
The St. Joseph University in Tanzania (SJUIT) is the university owned by Trustees of Daughters of Mary Immaculate and Collaborators...
Tatizo la ajira huwa ni sawa na kitu kinaitwa Inflations, mfumuko wa bei huwa kuna wakayi unafika ni kwamba huwezu kuu controo tena yasni ni haiwezi kudhibitiwa.
Nchi kama Zimbabwe au Venezuela...
Under the supervision of the Crossroads International Regional Representative for East and Southern Africa, the Finance and Administrative Manager will have the main missions of ensuring the...
JOB DESCIPTION
Job Title: Program Manager
Level: Level 2 Manager
Division: Programs
Location: Kasulu, Tanzania
Primary Purpose
This position is responsible for the management of the CWS operated...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.