Natafuta internship/kazi nina Degree ya Business Administration in Marketing

Dacnic

Member
Jun 27, 2020
6
1
Mimi ni graduate wa Bachelor Degree of Business Administration in Marketing. Natafuta internship au kazi kama Customer Care, Sales Officer au Marketing Officer. Mwenye connection au atakayeweza kunisaidia hili tafadhali kwa sasa napatikana Dar.
 
Mimi ni graduate wa bachelor Degree of Business Administration in Marketing. Natafuta internship au kazi kama Customer Care, Sales Officer au Marketing Officer. Mwenye connection au atakayeweza kunisaidia hili tafadhali kwa sasa napatikana Dar.

Mbona hujaacha mawasiliano yako!?
 
Kama ipo tafadhali unaweza ukani dm
Chukua barua yako ya maombi ya field peleka tbl, Serengeti breweries,viwanda vya saruji, twiga, camel, na wale wa kimbiji, peleka tanga cement, peleka viwanda vya nondo lodhia, lake steel, kuna mwingine simkumbuki tafuta google, peleka hata kwenye hizi big project.

Don't limit yourself. Mtu aliesoma biashara anahitajika nyanja nyingi sio kwa Sababu umesoma marketing ung,ang,anie field moja. All the best
 
Chukua barua yako ya maombi ya field peleka tbl, Serengeti breweries,viwanda vya saruji, twiga, camel, na wale wa kimbiji, peleka tanga cement, peleka viwanda vya nondo lodhia, lake steel, kuna mwingine simkumbuki tafuta google, peleka hata kwenye hizi big project. Don't limit yourself. Mtu aliesoma biashara anahitajika nyanja nyingi sio kwa Sababu umesoma marketing ung,ang,anie field moja. All the best
Kila sehem hapo utaambiwa corona imeharibu
 
Kwanini usianzishe business yako na ukaisimamia wewe wenyewe?
Lengo la kwenda shule lilikuwa kupata maarifa kisha uje ufanye kazi. Sasa fursa nzuri na bora kwako kwa sasa ni kusimamia biashara yako.

Anza hata na mtaji wa laki moja, then utajiongeza taratibu.
 
Mkabidhi hio laki moja.
 
Sidhani kuna mwanafunzi anakwenda shule kuongeza maarifa na si kutaka ajira.
 
Hawa jamaa wanahitaji mtu..
Screenshot_20200707-161120.jpg
 
Mimi ni graduate wa Bachelor Degree of Business Administration in Marketing. Natafuta internship au kazi kama Customer Care, Sales Officer au Marketing Officer. Mwenye connection au atakayeweza kunisaidia hili tafadhali kwa sasa napatikana Dar.
naomba nitafute kwa namba 0765374146
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom