Mtoto wa Golden Paste
Senior Member
- Jul 7, 2020
- 166
- 121
Habari wana JF,
Nahitaji kufahamu vigezo anavyotakiwa kuwa navyo anaeajiriwa kuwa Cashier wa supermarket.
Pia nahitaji kutambua je,mtu yeyote anaweza ajiriwa kuwa Cashier hata kama hakusomea hiyo kazi?
Nahitaji msaada katika hilo tafadhali.