Enyi mnaosaka vibarua ndani ya JIJI la DAR, nendeni mkaombe vibarua hapo kwenye Jengo la Freemason Dar es salaam.
wanafanya maboresho ya Jengo zima kuanzia Ground Floor mpaka Paa.
Huwezi Jua...
Familia ya Dar es Salaam yenye kuthamini utu inatafuta mfanyakazi wa ndani wa kike mwenyewe umri mwisho miaka 22 kwaajili ya kazi za ndani.
Mfanyakazi ataishi vizuri na dada mwenye nyumba kwani...
Mimi ni mama wa familia Nina watoto wawili nimeolewa natafuta kazi yoyote ila nipo GEITA mjini Nina miaka29 nisaidie tadhali mwenye connection namba yanu ni 0622575581 kwa ajili ya kazi tu elimu...
Habari wana JF,
Naiman, tu wazima wa afya. Naitwa Saimoko, niko Njombe. Mimi ni middle man (dalali) wa mazao.
Uhitaji wa middle man ni muhimu sana kwa wafanyabiashara, kwa sababu sio wote...
Habari wanna jamii forums, katika harakati zangu za utafutaji nami nikaona sio mbaya kuanzisha kikampuni changu kidogo Cha usafirishaji.
Lengo ni kuendelea kujikomboa na circle ya umasikini, na...
Kuna kikazi cha siku 1 au 2 kwa mtu wa jinsi yoyote ambaye yuko Mtwara. Mtu ambaye yuko sharp, smart na anajiamini na mwenye uelewa wa mambo.
Anicheki DM fasta na namba yake ya simu. Lazima uwe...
Habari za wakati huu wakuu..?
Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry)
Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi...
Nimesikia tetesi kuwa vibali vimetoka lakini mkeka haujawekwa hadharani, sasa tamisemi hawaoni hii itatengeneza mwanya wa mabosi wa Halmashauri kuficha barua na kuwanyima watu haki zao...
Jaman kama Kuna mtu ana shamba au eneo lenye nyumba au mabanda maeneo ya Kibaha, Mlandizi au sehemu yoyote karbu na Dar na anahitaji mtu wa kukaa au mlinzi naomba anisaidie lengo langu nataka...
Una kuta mtu ktk program aliyosemea ndani yake kuna courses za profession fulan lkn kama utumishi ktk education qualification wakisema wanataka B.A Y basi ni Y tu
Huu.mfumo ni wa kuutazama...
Habari,
Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu na hawa jamaa wa mradi wa bomba la mafuta la TAZAMA (TANZANIA ZAMBIA MAFUTA)
Hivi wanalipaje kwa nafasi ya ulinzi?
Mana nimeona wametangaza nafasi na...
Habari wanajamvi
Nimefuatilia placements nyingi za kazi lakini kuna jambo nimegundua unakuta wakati tangazo la kazi linatoka serikalini labda linahitaji watu 20 lakini watakaoajiriwa ni 12 tu...
Position: Quality Assurance Manager
Our client is a registered Tanzanian Company under Companies Ordinance (Cap. 212) and a leading hospitality Company with Operations in Arusha, Meatu-Simiyu...
Kwa Majina Naitwa Musa Augustino Lweve, ni dereva wa magari Manual pia na Automátic. Lengo la kuleta mada kwenu ni kusaidiana.
Nilikuwa naomba mwenye connection ya kusafirisha gari kwenda nchi...
Je, mtumishi wa ajira mpya KADA ya ualimu na afya anapaswa kulipwa posho ya kujikimu kwa siku 7 au 14 Kwa mujibu wa Sheria na kanuni za utumishi wa umma?
Gender: Male
Education: BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT
Location: KITUNDA-DAR ES SALAAM
Experience: 2years
I am Looking for a teaching job specifically for Chemistry and ICS subjects,
Position: Receptionist
Category: National
Location: Dar Es Salaam, Tanzania
Reference: 21164
Background
Enabel in Tanzania is launching its new Country Strategy for the Bilateral Cooperation in...
Habari wana JF!
Natumai mko salama!
binafsi nawachukulia ninyi kama ndugu zangu wa karibu sana niwapo online, maana hapa napata kila aina ya mambo nikihitaji habari, vijimambo, ushauri na stori...
Wanajukwaa kuna kazi zimetangazwa na utumishi leo TASAC, katika nafasi hzo nime apply nafas mbili
1. Ship tallying officer
2. Shipping services officer
Naombeni msaada nisome mambo gani hapo ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.