Mimi ni dalali nio Njombe, tupeane fursa

saimoko

Member
Dec 25, 2022
38
27
Habari wana JF,

Naiman, tu wazima wa afya. Naitwa Saimoko, niko Njombe. Mimi ni middle man (dalali) wa mazao.

Uhitaji wa middle man ni muhimu sana kwa wafanyabiashara, kwa sababu sio wote wanaweza kufikia masoko kwa wakati kutokana na sababu mbalimbali.

Sina uzoefu sana, nimeanza hivi karibuni, lakini naihitaji partner ambaye tutashirikiana kutafuta masoko ya viazi Ulaya. Kikubwa awe mwaminifu, kwa sababu agent commission sio utapeli kama biashara nyingine.

Tuwasiliane kwa simu: 0620743697.
 
Back
Top Bottom