Posho ya kujikimu Kwa ajira mpya

Posho ya kujikimu Kwa ajira mpya

Joined
Nov 3, 2017
Posts
23
Reaction score
15
Je, mtumishi wa ajira mpya KADA ya ualimu na afya anapaswa kulipwa posho ya kujikimu kwa siku 7 au 14 Kwa mujibu wa Sheria na kanuni za utumishi wa umma?
 
Shukru utakachopata, mimi nina miaka karibu 10 kazini ila sijawahi lipwa hela ya kujikimu.

Kikubwa ni mshahara uingie hayo mengine ni bonus
 
Attachments

  • Screenshot_20230921-112103.jpg
    Screenshot_20230921-112103.jpg
    17.3 KB · Views: 123
Hii kanuni mbona IPO wazi
Shukru utakachopata, mimi nina miaka karibu 10 kazini ila sijawahi lipwa hela ya kujikimu.

Kikubwa ni mshahara uingie hayo mengine ni bonus
 
Attachments

  • standing order.jpg
    standing order.jpg
    17.3 KB · Views: 111
Back
Top Bottom