Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau mambo vipi nitajieni mamlaka za serikali zinazoajiri zenyewe ukiacha PSRS
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anahitajika msichana wakuuza Duka la vipodozi. Vigezo: Awe na uzoefu wa kuuza duka la vipodozi Elimu atleast form 4, awe anajua hesabu vizuri. Kituo cha kazi kipo Tandika Dar es Salaam. Ambae...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Nilikua naomba kuuliza je cut off point ambayo utumishi na tasisi zingine wanaconsider wa kifanya shortlisting ili waite watu kwenye interview ni GPA ya ngapi (ukiachana na kazi...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanroads The Regional Manager’s Office TANROADS – KIGOMA on behalf of the Chief Executive TANROADS, intends to recruit and competent Tanzanians to fill the following vacant posts on specific duty...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kila lakhery wenye sifa
1 Reactions
0 Replies
595 Views
Habari za Asubuhi wanajamii forum, Uzi uu ni maalum kwa kupeana maelekezo,miongozo,Maswali yote yanayopendwa kuulizwa na TRA katika INTERVIEWS zao,yeyote anejua ni maswali gani wanapenda kuuliza...
2 Reactions
96 Replies
19K Views
Kampuni ya JOEX Worldwide inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 20,2023 Kazi : Clearing Agent Idara: Operational Vigezo Cheti / Diploma ya...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Kampuni ya JOEX Worldwide inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 20,2023 Kazi : Clearing Agent Idara: Operational Vigezo Cheti / Diploma ya...
3 Reactions
1 Replies
866 Views
Wenye uelewa na aptitude test naomba kupata mwanga kidogo zinakuaje
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Anaeijua vizuri kampuni ya Eco Act Tanzania especialy kitengo cha mauzo na masoko namuomba inbox
1 Reactions
2 Replies
337 Views
Nimekuwa naomba ajira sana humu sikufanikiwa nimerudi tena na iman nitapata Wanajamii forum , nina uhitaji wa kazi yeyote halali, hali imekuwa ngumu , tunandoto kubwa hatuna pakuanzia Uzoefu 1...
11 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21, naishi Dar es salaam. Nina elimu ya stashahada; natafuta kazi kama graphic designer. Nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivii sasa hivi Mtanzania aliyemaliza form six anawezaje kupata ajira serikalini?
5 Reactions
24 Replies
2K Views
hivi kunakiwanda ambacho akina kazi ngumu raisi ? kama kipo kitaje na malipo yao yakoje watu wanatafuta
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi wakuu nawezaje kupata utingo wa malori sijasomea ufundi ilaa napenda kufanya kazi iyoo kama una connection waku na pia kama kuna changa moto zake mniambie mapema
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, Nahitaji graphics design mwenye outstanding skills. Requirements 1. Lazima awe na uzoefu na skills na software mbali mbali za design. 2. Lazima aweze kutafuta masoko / marketing na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za jumapili wapendwa,naombeni msaada nimeitwa kwa interview Kama mhasibu jaffery ind,sain LTD inahusika na furniture manufacturing and sales kwa mwenye experience na hizi kampuni au any...
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Mimi ni kijana wa miaka 23 napatikana Dar maendo ya Mbezi Mwisho, Napenda kuulizia kwa hapa Dar ni wapi naweza pata vibarua vya ujenzi Kama saidia kwenye mradi unaoendela kwa sasa au Kama Kuna...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Back
Top Bottom