Jaman kama kuna mtu ana shamba au eneo lenye nyumba au mabanda na anahitaji mtu wa kukaa au mlinzi naomba anisaidie

Elon J

JF-Expert Member
Sep 30, 2022
630
1,846
Jaman kama Kuna mtu ana shamba au eneo lenye nyumba au mabanda maeneo ya Kibaha, Mlandizi au sehemu yoyote karbu na Dar na anahitaji mtu wa kukaa au mlinzi naomba anisaidie lengo langu nataka niwepo hapo hku nikiendelea na shughuli zangu za kufuga kuku.

NB: Hakuta kuwa na malipo yoyote means ntakuwa nakaa kama mlizi huku nashughulika na shughuli zangu za kufuga.🙏
 
Ila baadae mkishashawishiwa mnaanzaga kutaka kulipwa, Mzee wangu alimpaga mtu shamba hivi hivi akaleta na mke na watoto wakajenga kibanda wakaanza kuishi Mzee ni kwenda kuwatembelea tu na kuangalia mazingira ya eneo jamaa akapanda mazao akawa analima viazi vitamu na mihogo ikistawi sisi kazi yetu kwenda kuvuna tu aaah katokea jamaa gani sijui mkewe sijui ndugu wa mkewe wakamwambia aanze kumchaji Mzee wakati eneo anakaa bure analima bure mazao anayopata anakula bure na Ardhi ni ya Mzee mwisho wakashindwana Mzee akamwambia atafute kwa kwenda kukaa na familia yake, binadamu vishawishi vibaya sana jamàa alikua akiugua au familia yake ikiugua Mzee anatoa Pesa za matibabu Ila ndio hivyo akaanza kudai alipwe na dizaini ardhi alianza kuiona km ya kwake yaan sehemu umepewa hisani tu unaanza kuhisi km ni PA kwako?
 
Hapana, me lengo langu ni kupata fursa ya kufuga pia
 
Jaman kama Kuna mtu ana shamba au eneo lenye nyumba au mabanda na anahitaji mtu wa kukaa au mlinzi naomba anisaidie lengo langu nataka niwepo hapo hku nafuga kuku.

NB: Hakuta kuwa na malipo yoyote means ntakuwa nakaa kama mlizi huku nashughulika na shughuli zangu za kufuga.🙏
Njoo kusini, Nachingwea na Ruangwa mchawi ni panga lako fyeka msitu weka makazi pakulala nachingwea town karib kwangu
 
Back
Top Bottom