Kwanini baadhi ya nafasi za kazi zinazotangazwa zinakosa watu

Dogo12

Member
Oct 5, 2022
45
140
Habari wanajamvi
Nimefuatilia placements nyingi za kazi lakini kuna jambo nimegundua unakuta wakati tangazo la kazi linatoka serikalini labda linahitaji watu 20 lakini watakaoajiriwa ni 12 tu shida ni nini...? Ni kwamba vijana sikuizi hawajiriki ndoo maana baadhi nafasi kukosa watu na kua pungufu naomba mnieleweshe
 
Wale waliofanya usahili wanakua hawajafikia vigezo

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Habari wanajamvi
Nimefuatilia placements nyingi za kazi lakini kuna jambo nimegundua unakuta wakati tangazo la kazi linatoka serikalini labda linahitaji watu 20 lakini watakaoajiriwa ni 12 tu shida ni nini...? Ni kwamba vijana sikuizi hawajiriki ndoo maana baadhi nafasi kukosa watu na kua pungufu naomba mnieleweshe
Sio ndio mambo ya watimishi hewa hayo? Wanaajiriwa watu 12 halafu kwenye payroll wanaingizwa majina 20.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom