Natafuta mdada wa kazi wa kuishi nyumbani mwenye uaminifu, bidii na anayependa watoto, umri 16 hadi 25
Mahali: Kinyerezi, Dar es Salaam
Mshahara: TSh 100,000 kwa mwezi
Maelezo ya familia...
Kuna tatizo kubwa kutoka kwa baadhi ya benki zinazotuhudumia. Serikali imeweka mfumo wa loan takeover (kuuza mkopo) ili kumsaidia mtumishi kupata nafuu na masharti bora ya mkopo, lakini benki...
KATIBU MUHTASI (SECRETARY) NAFASI 3.
Taasisi ya MUSTLEAD Inatangaza nafasi ya kazi ya katibu muhtasi(Secretary)
SIFA ZA MUOMBAJI:
1. Awe na elimu walau ya kidato cha nne.
2.Awe na ujuzi wa...
Habari za majukumu, JF.
Sisi watumishi wa ajira mpya wa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Momba (Momba DC) bado hatujapokea fedha zetu za kujikimu hadi leo, wakati watumishi wa...
Leo nimeona taarifa kwamba baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wamelipwa fedha zao za kujikimu.
Swali langu ni, kwa nini sisi walimu wa ajira mpya bado hatujalipwa fedha zetu...
Kuna Hali ambayo hatuelewi.
Tumesoma veta-mpanda basic short course intake ya 14/8/2025 hadi 14/09/2025 lakin kutokana na changamoto tulimaliza karibu mwezi wa 10.
Lakin Hadi Leo hatujapata...
Mpaka sasa tuna zaidi ya mwezi tangu tumalize kufanya mitihani, leseni zetu zimeisha, hali inayosababisha madereva wengine kupoteza ajira zao.
Mpaka sasa hatujui ni lini tutapata vyeti ama...
Watumishi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), hususan wanaofanya kazi katika mradi wa SGR, wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kutolipwa madai yao kwa muda mrefu, kuanzia kipindi cha ujenzi hadi...
Tanzania, kwenye sekta nyingi nje ya Serikali na makampuni machache makubwa, ajira mara nyingi hazina uhakika wa muda mrefu. Ukiongeza na tabia ya baadhi ya waajiri kupendelea waombaji wa umri...
Sisi walimu wa ajira mpya wa mwaka wa fedha 2025/2026, tulioajiriwa katika kipindi cha siku 100 za Mheshimiwa Rais, tunaomba mamlaka husika, hususan Ofisi ya Rais - TAMISEMI, isikilize na kutatua...
Tanesco imekuwa na unyanyasaji mkubwa sana kwa vibarua wanaosambaza umeme kwa mteja(service line) na kujenga miradi midogo midogo. Inafikia mpaka miezi nane(8) pesa haijalipwa na hakuna...
JUNIOR HR OFFICER
Location: Dar es Salaam
Gross Salary: TZS 1,600,000 per month
We are seeking a competent and motivated Junior HR Officer to join our team in Dar es Salaam.
Minimum...
Wana-JamiiForums,
Naleta mada hii mbele yenu nikiwa na masikitiko makubwa na dhumuni langu ni kuomba ushauri, lakini pia kufikisha sauti yetu kwa mamlaka husika juu ya ukiukwaji mkubwa wa sheria...
Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana.
Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi...
Ingawa kuna watu nikiweka ujumbe wa kusaidia kwa wenye changamoto kama kusahau password, kusahau email na changamoto zingine za ajira portal wanitafute niwasaidie wanareport kwamba ni kuatarisha...
Tunaomba tulipwe fedha zetu za kujikimu.
Mtumishi anapaswa kulipwa fedha za kujikimu kwa wakati ili aweze kukabiliana na mazingira mapya ya kazi. Hata hivyo, sisi watumishi wa Halmashauri ya...
Kwa sasa, karibu kila huduma muhimu kwa watumishi imehamishiwa kwenye mfumo wa e-UTUMISHI (ESS). Kupitia mfumo huo, mtumishi anaweza kuomba likizo, mikopo, uhamisho, kuongeza wategemezi, kupata...
Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya kilwa tulip ajiriwa mwezi kwanza baadhi ya Kada Hatujalipwa pesa za kujikimu Kila tukiuliza tunaambiwa Halmashauri Haina pesa, tusaidie kupaza sauti 🙏🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.