Natafuta msaidizi wa kazi za ndani

Natafuta msaidizi wa kazi za ndani

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,993
Reaction score
4,373
Tangazo.

Natafuta Msaidizi wa nyumba.
Vigezo ni Vigumu Kuliko Kupata Mkopo wa IMF

Habari za mchana wana-Jamii
Bila kupoteza muda, maisha yameenda kasi na majukumu yameongezeka. Natafuta binti mchapakazi atakayesaidiana nami katika majukumu mbalimbali ya kinyumbani
sifa za mwombaji lazima zizingatie vigezo vikali nq vinavyoendana na kasi ya awamu zote za hivi karibuni za nchi hii

ANGALIZO MUHIMU
Sio kwamba natafuta mke hapa, hapana.
Mwombaji anatakiwa awe na umri kati ya miaka 17 hadi 22 pekee, ambapo chini ya hapo ni makosa ya kisheria na juu ya hapo tayari mhusika ashaanza kuwa mhenga.
Lazima awe hajawahi kuzaa wala kushika mimba tangu dunia iumbwe ili kuepusha simu za dharura za kliniki, au mtoto kulia wakati wa masaa ya kazi.

Kuhusu muonekano, sifa hii haina mjadala, awe mweupe wa asili na marufuku wale wanaojichubua kwa mikorogo ya bei rahisi inayowaacha viwiko na magoti vikiwa vyeusi kama mkaa, Pia awe na shepu kiasi cha kwamba curves zionekane kwa mbali kuliko kunyooka kama rula ya mbao ya shule ya msingi, huku kigezo kikubwa kikiwa ni kutokuwa mnene sana wala mwembamba sana tunatafuta saizi ya wastani inayoleta amani na wepesi wa kupishana koridoni bila kugongana.

Kielimu, awe angalau amemaliza Kidato cha Nne na anajua kusoma na kuandika vizuri, ikiwemo kujua tofauti ya salamu ya heshima na meseji za ovyo za WhatsApp, Kwa upande wa dini na kabila, hapa hakuna ubaguzi kabisa; kabila lolote na dini yoyote ile inaruhusiwa kwa sababu sisi sote ni ndugu.

Awe na uwezo mkubwa wa kutunza siri za kinyumbani kama mwanajeshi wa kikosi maalum; akiona kitu au kusikia maongezi ndani ya nyumba ndio kimeishia hapo, na ukileta umbea wa jirani unafukuzwa usiku wa manane bila nauli.

Lazima awe anajua kutumia simu ya smartphone vizuri ikiwemo kusafisha kioo na kuwasha hotspot bila kuuliza maswali mengi, lakini kuna MARUFUKU YA KUTUMIA TIKTOK NA Instagram, hairuhusiwi kupiga picha za kudengua Sauti yake iwe ya upole yenye decibels ndogo sana ambapo sauti za mcharazo na makelele zimepigwa marufuku, na akiongea isisikike nje ya mlango.
Kwenye mapishi, awe na ujuzi wa hali ya juu wa kupika chapati laini za kupasuka kama karatasi zinazoweza kukunjwa mara nne bila kukatika, pamoja na chai yenye viungo sahihi na sio maji ya moto yaliyotiwa rangi ya majani.

Mshahara ni wa maeleweno na utalipwa vizuri sana kulingana na jinsi unavyokidhi vigezo hivi vya hawali huku kukiwa na bonasi ya utii, bonasi ya kutolalamika, na bonasi ya kuwahi kuamka saa 12:00 alfajiri ushakuwa macho.

Kama unajua unajiamini na vigezo vyote unavyo njoo PM (Private Message) ukiwa na picha yako ya sasa hivi ya mwili mzima (Full picture) ambayo haina filter yoyote ya Snapchat wala Instagram. Ukinitumia picha yenye masikio ya mbwa, paka, au maua kichwani, unakuwa umefeli mtihani wa kwanza na unawekwa block ya maisha hapo hapo aka life ban
KARIBUNI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom