Mimi ni mmoja wa watu waliowahi kupigiwa simu na mtu anayejitambulisha kwa jina la Joseph Kichele, akidai anatokea Ofisi ya Ajira ya TAMISEMI jijini Dodoma. Kutokana na uzoefu wangu na taarifa...
Mradi wa EACOP ulianza mwaka 2021 na sasa mwaka 2026 unakaribia kufikia mwisho. Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu utekelezaji wa mpango wa uhamishaji wa ujuzi na urithishaji wa nafasi...
Watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa hawapati stahiki zao kwa wakati.
1. Budget ya mapato ya ndani hazitoki kama zilivyo hainishwa kwa mwaka husika.
Tunafanya vikaoo vya budget na kuanda...
Walimu wa Halmashauri ya Mji Korogwe tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kwa umma labda yanaweza kufikia mamlaka za juu na kufanyiwa kazi kuhusu baadhi ya maamuzi yanayodaiwa kufanywa na Ofisi ya...
Baada ya Serikali kutoa fedha kwa ajiri ya malipo ya posho za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa mwaka 2026.
Hali imekuwa tofauti katika halmashauri ya wilaya ya Ushetu, mkoani Shinyanga.
Ambapo...
Wadau habari za jioni,
Mimi ni Muhanga wa ile sheria mbovu ya 33.3%, nilipitia msoto wa kukaa bila kupata ajira kwa miezi 18, baada ya kukamilisha taratibu zote na kuweka alama za vidole, leo...
Cleaning Services Tender – Right to Play Office, Nov 2024
Terms of Reference for – Cleaning Services
Location: Right To Play Office, Mikocheni, Dar es Salaam
Contract Duration: Four Months...
Wafanyakazi wa Halmashauri tunalazimishwa kuchangia fedha ya mwenge.
Hii kisheria haiko sawa, Serikali inapesa ya kujiendesha na kufanya sherehe zake kama hizi bila Kuminya watumishi ambao vipato...
Tunatafuta Fundi Pikipiki mwenye uzoefu wa kufanya service na matengenezo ya pikipiki za aina yoyote.
📍 Mahali: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam
Tunatafuta mtu mwenye:
✅ Uzoefu wa kufanya...
Habari wadau,
Nina elimu ya [weka kiwango cha elimu] kutoka [jina la chuo/shule].
Pia nina ujuzi katika [weka ujuzi wako, mfano: matumizi ya kompyuta, huduma kwa wateja, uhasibu, n.k.].
Kwa...
Kwa zamani ilikua ikijulikana kwa jina la Medical Attendant, hii kada imekosa watetezi kama ilivyo kwa wauguzi wanachama chao kanachojulikana kwa TANA hadi kadhalika kada zingine za afya.
Hii...
JamiiForums naomba msaidie kufikisha/kuangazia suala la kuchelewa kwa malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa Ifakara TC.
Tumeripoti kazini tangu Januari 2026, lakini hadi sasa...
TAMISEMI na Uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, tunaomba mtupe ufafanuzi kuhusu fedha zetu za kujikimu. Kwa mujibu wa barua ya TAMISEMI ya tarehe 04/06/2026, Halmashauri zilitakiwa...
Naandika nikiwa nawakilisha wenzangu watumishi wa Hospitali ya Vijibweni iliyopo Wilaya ya Kigamboni, ujumbe huu ni kwa niaba ya watumishi wengi, hususan wauguzi, kuomba mamlaka husika zisikilize...
Mimi ni Ajira Mpya Mkoa wa IRINGA sisi ajira mpya tumepata changamoto ya kulipwa pesa pungufu ya kujikimu ukilinganisha na halmashauri zingine mfano Afisa Muuguzi Msaidizi, halmashauri zingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.