Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya kilwa tulip ajiriwa mwezi kwanza baadhi ya Kada Hatujalipwa pesa za kujikimu Kila tukiuliza tunaambiwa Halmashauri Haina pesa, tusaidie kupaza sauti 🙏🙏
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Anonymous
Sisi Watumishi wapya wa Mkuranga DC kwa Mwaka 2026 tulioajiriwa Januari na wengine Aprili Kada ya Afya hatimaye tumepewa fedha za Kujikimu. Pia soma ~ Watumishi Mkuranga kutolipwa hela ya...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa mwaka 2022 bado hatujapandishwa madaraja, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamefanyiwa utaratibu huo. Tunapofuatilia suala hili...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Baada ya Serikali kutoa fedha kwa ajiri ya malipo ya posho za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa mwaka 2026. Hali imekuwa tofauti katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga. Ambapo watumishi wapya...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Anonymous
Ajira Mpya ya Januari 2026, Halmashauri ya Monduli tulilalamika kupitia hapa JamiiForums.com kuwa hatujalipwa pesa za kujikimu, naomba nitoe mrejesho kwa niaba ya wenzangu kuwa hatimaye Serikali...
1 Reactions
3 Replies
173 Views
Wakuu Kuna app imeanzishwa tz ambayo ipo playstore na app store inaitwa tapchap hapa wanakutana kati ya mtoa huduma na muhitaji huduma, Mfano mtu anataka mtu wa kumfanyia usafi,fundi n.k...
1 Reactions
9 Replies
163 Views
  • Redirect
Anonymous
Kwa unyenyekevu mkubwa tunapenda kutoa kero yetu sisi watumishi wa MSF - Medecins Sans Frontieres tunaofanya kazi chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi Hadi leo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Kwa unyenyekevu mkubwa tunapenda kutoa kero yetu sisi watumishi wa MSF - Medecins Sans Frontieres tunaofanya kazi chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi 1. Hali...
0 Reactions
1 Replies
150 Views
Anonymous
Mnamo Juni 2, 2026, niliwasilisha malalamiko nikieleza kuwa Katibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba aliwaeleza watumishi wa ajira mpya kuwa fedha za kujikimu zimepokelewa kutoka Hazina na kwamba...
0 Reactions
4 Replies
150 Views
Ajira mpya wa sekta ya afya—tulioripoti kazini Januari 2026 katika Manispaa ya Singida Mjini na Wilaya ya Mkalama. Mimi ni Tabibu Msaidizi Daraja la Kwanza. Tulitarajia kulipwa fedha za kujikimu...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
June 2, 2026, Katibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba alituambia Ajira Mpya 2026 kuwa pesa za kujikimu zimeingia kutoka hazina hivyo wote tutapatiwa pesa zetu za kujikimu, kitu cha ajabu Juni...
0 Reactions
5 Replies
213 Views
Anonymous
Wiki chache zilizopita kupitia Fichua Uovu hapa JF tuliwasilisha hoja kuwa sisi Watumishi wa Ajira Mpya Kada ya Afya katika Manispaa ya Singida Mjini Mkoani Singida tiilipewa nusu ya malipo ya...
3 Reactions
6 Replies
288 Views
Wiki iliyopita tuliwasilisha ujumbe wetu hapa JamiiForums tukiitaka TAMISEMI na Uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, kutufanyia mpango wa fedha zetu za kujikimu, barua ya TAMISEMI ya tarehe...
1 Reactions
2 Replies
147 Views
Kiukwelii tangia nizaliwee sijawahii kuhisi maumivu kama siku ambayo nilifanya interview mbili kwa siku moja pale Dodoma kipindi hicho mambo ya kufanyia online hayajaanza usiku saa mbili nipo...
10 Reactions
42 Replies
896 Views
Jamani nataka nitoke kwa mswahili nikafanye kazi na mhindi. Naombeni ushauri, tahadhari na maonyo niweze kufanya hiyo kazi. Muongee uhalisia ili nisije nikatupa mbachao. Uzi umeisha
5 Reactions
31 Replies
6K Views
Shule hii imetangaza zaidi ya nafasi 28 za walimu. Shule inapatikana Dodoma na yeyote anaweza akaomba. Maelekezo Zaidi juu ya namna ya kuomba na Taratibu zao Soma Hapa. Kitu cha tofuati kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
182 Views
Wapishi 3 wanahitajika kwa ajili ya hoteli mshahara 250000-300000 kutokana na uzoefu,malazi bure na matibabu pia. 0655290084.
4 Reactions
13 Replies
115 Views
Anonymous
Naandika waraka huu kwa masikitiko makubwa nikiwakilisha sauti za vijana wengi ambao wanapitia mateso na unyanyasaji ndani ya kampuni ya utoaji mikopo iitwayo Orbit Microfinance Services...
2 Reactions
13 Replies
277 Views
Heshima sana kwenu. Jamani naomba japo tupeane walau tips za interview kwa kada ya udereva zinakuaje kuaje Wakuu. Lugha wanayotumia kwenye Written na Oral na hata maswali pia wanayouliza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kwa yeyote anayetafuta fursa ya kufanya kazi mtandaoni akiwa nyumbani (Fully Remote), kampuni ya teknolojia ya Alignerr kutoka Marekani (inayomilikiwa na Labelbox) imefungua milango...
5 Reactions
3 Replies
275 Views
Back
Top Bottom