Napenda kuwasilisha hoja kuhusu changamoto inayowakabili Wahadhiri wengi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini katika mchakato wa kupandishwa vyeo.
Kwa sasa, Wahadhiri wengi wamekwama kutokana na...
Serikali imeweka sharti kwamba ili mtumishi apandishwe daraja, lazima awe amefikisha alama (score) ya angalau asilimia 75 kwenye mfumo wa PEPMIS kwa mwaka wa 2024/2025. Tatizo ni kwamba watumishi...
Kwa kweli suala la ajira, hususan katika baadhi ya taasisi za umma kama PCCB, limekuwa chanzo cha masikitiko na kukatisha tamaa kwa wahitimu wengi.
Mimi ni mhitimu mwenye shahada inayokidhi...
Watumishi Idara ya Elimu Wilaya ya Chalinze wanavyoonewa na kudhalilishwa na Afisa Elimu na baadhi ya Walimu Wakuu kwa kuwachongelea walimu kwa Afisa Elimu kisha kuwatisha kuwaharibia kazi...
Mimi ni mmoja wa watumishi wa kada ya afya tuliyoajiriwa mwaka 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Kero yangu kubwa ni kutolipwa stahiki zetu za pesa za kujikimu (allowance) kama...
Malalamiko yangu kuhusu nafasi ya Afisa Uhifadhi wa Bahari kwa upande wa Zanzibar kwenye mfumo wa Zanajira, kwenye nafasi hii sisi ambao tumesoma BACHELOR OF SCIENCE IN AQUACULTURE from SUA...
Kuna malalamiko kutoka kwa wataalamu wa maabara walio katika programu ya mafunzo kwa vitendo (tarajali) kuhusu kiwango cha malipo wanachopokea.
Wataalamu hao wanaelezwa kuwa wanapaswa kulipwa...
Habari humu ndani!
Mimi ni mwanamke miaka 29, elimu yangu form four. Natokea dar es salaam(goba).Nilikuwa na uhitaji wa kazi hasa shuleni ninauzoefu nayo,hasa kulea watoto na usafi.Kama kuna mtu...
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi watumishi tunaoomba ruhusa ya kwenda kusoma huwa tunanyimwa ruhusa bila sababu na muda mwingine tunaombwa Hela ili uweze kuruhusiwa na usipotoa hupewi ruhusa...
Habari za Uzima Ndugu Zangu. Mimi ni kijana wa Kiume Umri Miaka 27 Natafuta kazi ya Store keeper Au Patron "Kusimamia Wanafunzi" Nina Uzoefu wa kufanya hizi kazi., ila hata ikipatikana Kazi...
Madaktari hospitali ya wilaya katika Halmashauri ya Mpimbwe wanadai kunyimwa malipo ya call allowance tangu Februari mwaka jana, huku wakielezwa kuwa OC haijaingiziwa fedha hizo. Hata hivyo...
Habari, Mimi ni mdada natafuta kazi ya stationery. Nina miaka 26, nina utaalamu na uzoefu mkubwa wa kazi zote za Stationery na mauzo.
Pia, nina ujuzi wa Graphic Design na nina ujuzi wa kutumia...
Tunafanya kazi kampuni ya Kichina ipo Ilemela hapa Mwanza, tunajenga Soko Kirumba, kero yetu ni kuwa michango ya Hifadhi ya NSSF ni shida hatujawekewa tangu Septemba 2025.
Kazi ilianza tangu Mei...
Wajomba maisha yamekuwa heavy sana naomba niende straight,wekeni link hapa za remote jobs ambazo zko legit kwa watanzania.Gusa hapa nenda ukajitafutie cha kufanya
Kama umeitwa katika usaili wa mchujo, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II au kwa kimombo, Record Management Assistant II utakuwa unajiuliza maswali yanatokaje hasa kama ni mara yako ya kwanza...
Mimi kwa taaluma yangu ni mwalimu. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikihangaika kutafuta ajira serikalini kupitia Ajira Portal. Nimekuwa nikifanya usaili mara kwa mara, napita hatua ya maandishi hadi...
Sisi ni watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, tukiwa miongoni mwa waajiriwa wapya wa mwaka 2026 (kuanzia mwezi Januari) katika kada mbalimbali zikiwemo ualimu, afya, ustawi wa jamii, kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.