A
Anonymous
Guest
Majibu ya MAOMBI YA KUJIUNGA JWTZ yametoka au bado?
Niliomba kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. Sasa mwezi umepita, lakini sijapata majibu wala simu.
Je, kuna yeyote amepata jibu (kukubaliwa au kukataliwa)? Au bado wanachakata?