Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Watumishi wa serikali ajira ya 2021 mwezi wa 7, tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja. Mikataba inadai mtumishi atapandishwa daraja baada ya miaka 4 kazini, lakini sisi tumemaliza miaka...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Anonymous
Sisi waajiriwa wa nafasi ya Tutorial Assistant wa School of Medicine and Dentistry katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tunafanyishwa kazi za clinicians na sio academicians. Muda mwingi tunaenda...
3 Reactions
23 Replies
629 Views
Kuna namna fulani ya halmashauri pamoja na tume yetu ya kazi/ajira hapa nchini Tanzania inachangia kwa asilimia kubwa sana wafanyakazi kukosa stahiki zao kutoka kwa Waajiri wao hususani private...
1 Reactions
1 Replies
87 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa Serikali nilipewa uhamisho kutoka TAMISEMI Mwaka 2024 kutoka halmashauri moja kwenda nyingine, mimi mwenyewe sikUuomba na sikujua sababu ya uhamisho ule, kumbuka unapewa...
1 Reactions
8 Replies
185 Views
Anonymous
Walimu wa wilaya ya Meru-Arusha tunazungushwa madai yetu ya kupandishwa mshahara tangu Mwaka 2019 tukienda kwa maafisa Utumishi wanasema taarifa zimeshatumwa TAMISEMI, sasa tumfuate nani atusaidie...
0 Reactions
1 Replies
60 Views
Anonymous
Mimi ni mwalimu ambaye nimehamishwa kutoka Wilaya ya Nyasa, mkoa wa Ruvuma, kuja Kahama Manispaa. Kero yangu kubwa ni kutosikilizwa kwa changamoto yangu na watumishi wa Idara ya Elimu Msingi licha...
1 Reactions
11 Replies
166 Views
Anonymous
Naomba kufichua changamoto kubwa inayowakumba Watumishi wa Kada ya Afya katika Wilaya ya Malinyi, hususan suala la kutolipwa stahiki zetu za msingi. Kumekuwa na tatizo la muda mrefu la kutolipwa...
1 Reactions
3 Replies
99 Views
Anonymous
Tunapenda kuwasilisha changamoto iliyopo kwenye mfumo wa Ajira Portal. Mfumo huo haujatambua shahada ya Bachelor of Social Work inayotolewa na Institute of Social Work, jambo linalosababisha...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Anonymous
Wafanyakazi wa mkataba wa Shirika la ICAP hatujalipwa mshahara toka Januari 2026, tumeulizia kwa RACC kiongozi mratibu wa Afua ya UKIMWI Mkoa lakini hatupewi majibu sahihi kila siku anatuzungusha...
2 Reactions
9 Replies
257 Views
Kero yangu inahusu baadhi ya watumishi wa umma ambao tumekosa kupandishwa madaraja kutokana na changamoto zinazotokana na matumizi ya mfumo wa PEPMIS na uzembe wa baadhi ya wakuu wa vituo. Baadhi...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Anonymous
Baadhi ya watumishi walioajiriwa wilaya ya Siha mwaka 2021, hatukulipwa mshahara wa kwanza wa July 2021. Imepita miaka minne sasa unaenda mwaka wa tano. Tumeshaandika sana barua na kujaza fomu...
2 Reactions
3 Replies
120 Views
Katika usaili wako unaweza kukutana na maswali ya aina yoyote hata kwa kitu ambacho hujasomea. Hata hivyo, mara nyingi utakutana na mambo yanayohusu taaluma yako, mfano: What are the four...
0 Reactions
4 Replies
164 Views
Anonymous
Umri wangi ni miaka 32, ninajishughulisha na biashara ndogo ndogo. Nilifunga ndoa Mwaka 2017 na mwanamke ambaye ni mtumishi wa Serikali, na tumebarikiwa kupata watoto wawili. Hata hivyo, tangu...
6 Reactions
32 Replies
601 Views
Kwa wanaotaka kuomba. kama una changamoto ya mfumo tuwasiliane kwa 0623446608 (Whatsapp na kawaida) Au 0792715343 unikusaidie kirahisi. Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada...
1 Reactions
2 Replies
103 Views
Nataka nijue kama Utumishi wanapokea na kutoa uhamisho kwa watu wenye case maalum, Yaan kama mtu ana barua tayari ya kupata nafasi ya kuhamia Taasisi fulani ila akiomba kwenye mfumo kunazingua...
1 Reactions
2 Replies
241 Views
Anonymous (b4b1)
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini...
2 Reactions
25 Replies
908 Views
Anonymous
Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo. Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za...
1 Reactions
5 Replies
341 Views
Napenda kuwasilisha hoja kuhusu changamoto inayowakabili Wahadhiri wengi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini katika mchakato wa kupandishwa vyeo. Kwa sasa, Wahadhiri wengi wamekwama kutokana na...
1 Reactions
7 Replies
320 Views
Serikali imeweka sharti kwamba ili mtumishi apandishwe daraja, lazima awe amefikisha alama (score) ya angalau asilimia 75 kwenye mfumo wa PEPMIS kwa mwaka wa 2024/2025. Tatizo ni kwamba watumishi...
0 Reactions
5 Replies
248 Views
Anonymous
Kwa kweli suala la ajira, hususan katika baadhi ya taasisi za umma kama PCCB, limekuwa chanzo cha masikitiko na kukatisha tamaa kwa wahitimu wengi. Mimi ni mhitimu mwenye shahada inayokidhi...
1 Reactions
2 Replies
339 Views
Back
Top Bottom