Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mwenye ulewa na hii taasisi ya TAWA(Tanzania Wildlife Management Authority))wanavyolipa, na posho zake zilivyo katika ngazi tofauti tofauti naomba atujuze. Natanguliza shukran.
4 Reactions
65 Replies
9K Views
Hello! kama uko na mtu anahitaji kaz za ndan naomba nicheki, location ni pemba,
6 Reactions
26 Replies
355 Views
Kuna hili tangazo la kazi la kampuni ya Yahoo ambalo kwa sasa limekuwa kituko mtandaoni. Katika tangazo hilo, Yahoo wametangaza wanatafuta mtaalamu wa kompyuta na wakasema mwombaji anapaswa kuwa...
1 Reactions
12 Replies
212 Views
Wasailiwa wa mitihani ya Practical, hususan katika kada ya Programming (ICT), tunashindwa kuelewa mchakato wa usahihishaji unafanyika vipi. Mara nyingi unafanya mtihani wako, kisha unaondoka bila...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Anonymous
Habari. Watumishi tuliojiendeleza kielimu tukiwa kwenye halmashauri tunakumbana na changamoto kubwa katika kufanyiwa re-categorization (recate) kutoka kada moja kwenda nyingine. Maafisa...
1 Reactions
0 Replies
107 Views
Anonymous
Siku chache zilizopita tuliwasilisha malalamiko kuhusu changamoto tulizokuwa tunakumbana nazo katika eneo letu la kazi la BCEG Mbezi Beach, ikiwemo madai ya makato ya michango ya NSSF...
0 Reactions
1 Replies
61 Views
Anonymous
Ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko tunaomba kufikisha kilio chetu kuhusu utata uliojitokeza katika malipo ya fedha za kujikimu baada ya kuripoti kazini. Tulipokuwa tunaripoti...
1 Reactions
0 Replies
119 Views
Anonymous (a9f4)
Wafanyakazi wa ajira Mpya Kibaha Manispaa tuna Mwaka mmoja na nusu hatujathibitishwa kazini, tunahoji lakini hatupati majibu ya kueleweka. Tunaokumbaa na changamoto hiyo ni Kada ya Afya na pia...
2 Reactions
5 Replies
232 Views
Anonymous
Ajira mpya Kada ya Afya Musoma Mjini hatujapata sitahiki zetu za Pesa ya Kujikimu licha ya pesa hizo kutumwa kwenye halmashauri husika, kila tukifuatilia tunaambiwa suala linashughulikiwa mpaka...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Ni kiwanja kiluchopo Sanawari chapili kutoka Lami ya bara bara kuu ya Arusha Moshi. Kiwanja kipo jirani na Redio mbingu duniani kinauzwa Milioni 110 top. Ukubwa ni 20x20. Kinafaa kujenga...
5 Reactions
10 Replies
162 Views
Anonymous
Kwa Mheshimiwa Rais, Waziri wa Afya na mamlaka husika, mimi ni mkazi wa Mtwara, ninaomba Serikali itafakari kwa kina suala la mtihani wa leseni kwa wahitimu wa Uuguzi na Ukunga unaosimamiwa na...
1 Reactions
44 Replies
487 Views
vigezo-wawe na namba ya nida , -wawe na sehemu ya kukaa kibaha - wawe wanaume tu -wawe waaminifu - wawe tayari kwa kazi -mshahara 200k kwa...
8 Reactions
93 Replies
1K Views
Hivi mashirika ya umma yanatumia muda gani kuita watu kazini?
1 Reactions
17 Replies
191 Views
Anonymous
Uandikishaji ulifanyika kwa siku saba kwa kupita kaya kwa kaya lakini wamelipwa kiasi cha sh. 50000 tu. kwa siku hizo zote. Tunaomba katibu mkuu wizara ya Afya atolee ufafanuzi suala hilo, Kwan...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Habari wakuu, Nahitaji mtu makini wa kutengeneza website ya biashara. Kwa sasa itakuwa maily ni static website, except page ya blog/news/media ambayo ni dynamic ambapo Admin ataweza kuwa anaweka...
2 Reactions
24 Replies
279 Views
Habari wakuu namleta mdau hapa anasema yeye anaomba kazi kwenye Microfinance yoyote kama afisa mikopo au nafasi nyingine yoyote. SIFA ZAKE ELIMU KIDATO CHA NNE NA DIPLOMA YA MASOKO Ujuzi anajua...
3 Reactions
10 Replies
168 Views
Ndugu zang mm ni mtu wa kazi kazi ilimradi pesa,,,,napenda kuwaomba ndugu zang wana JF kama kuna kazi yyte ya kibarua mimi nipo tayari kuifanya,,,,au Kama kuna connectio au mchongo wa kuingiza...
3 Reactions
21 Replies
301 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Anatafutwa afisa manunuzi mwenye masters ya procurement au mwenye Cheti cha CPSP. Ni issue ya haraka na hakuna gharama zozote za malipo. Mwenye vigezo na uhitaji aje DM haraka Asante.
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Tunatafuta wadada wa kuhudumia wateja katika Barbeshop yetu iliyopo Olasiti,Arusha. Sifa zinazohitajika  Awe smart na mwenye muonekano mzuri  Awe anajua kufanya scrub,Massage ya Kichwa na...
2 Reactions
0 Replies
65 Views
Back
Top Bottom