Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, ameagiza kuchukuliwa hatua kwa maafisa rasilimali watu watakaobainika...
Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro haijalipa fedha za kujikimu kwa ajira mpya na wapo kimya, hawajasema lolote.
Serikali itusaidie katika hilo, tuliripoti kazini mwezi wa kwanza hadi...
Habarini ndugu zangu nilikuwanaomba ushauri kuna dogo langu anafundisha chuo kikuu cha Dar es Salaam kama Tutorial Assistant na kaitwa kufanya interview TRA kama Tutorial assistant.
Yuko anauliza...
Ajira mpya afya halmashauri ya wilaya ya Iramba hatujalipwa pesa zetu za kujikimu, na kila siku tukifuatilia tunaambiwa fedha ziko hazina wiki ya pili saa tangu tumeanza kufuatilia, mara...
Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo...
Habari wakuu Mimi kijanana nipo kahama namiaka 23 natafuta kazi nina uzoefu na kazi ya library ata kaziyeyote yakulipwa kwa mwezi au wiki mshahara tunaelewana elimu form four asanteni
Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer.
Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR.
Anahitajika...
Tunatafuta Fundi Magari Makubwa mwenye uzoefu wa kutengeneza Engine na Gearbox za malori na magari makubwa, hususan yale ya Kichina.
Sifa zinazohitajika: • Uwe na uzoefu wa kutengeneza engine za...
Watumishi wa kada ya Ualimu tulioajiriwa tarehe 01/07/2022 tunaomba mamlaka husika zituangalie kuhusu suala la kupandishwa madaraja.
Hadi sasa hatujapandishwa daraja kutokana na sababu ya...
Kero kubwa iko Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI kitengo cha UHAMISHO wa Watumishi UNAPEWA BARUA YA UHAMISHO LAKIN MSHAHARA HAUHAMI.
Hili JIPU linahitaji KUTUMBULIWA maana inasababusha mtumishi...
Habari, mm nimwajiriwa mpya wa serikali katika Halmashauri ya Mji Tarime ajira za mwezi January 2026, pamoja na katibu mkuu TAMISEMI kutoa waraka wa kuelekeza watumishi wapya wote walipewe pesa za...
Habari za leo?
Ndugu zangu nimefikia uhamuzi huu wa kuuliza ni kwa nini Tamisemi haitoi majina ya watumishi waliopata uhamisho?
Jibu ninalofikiria binafisi ni kutokana na kuwepo na uvunjifu wa...
Baada ya mwanachama kustaafu rasmi utumishi wake, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii husika unatakiwa kuchakata na kulipa mafao ya mstaafu ndani ya siku sitini (60) tangu kukamilika kwa nyaraka zote muhimu...
Mimi niliajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo mwaka 2021, nikifanya kazi katika Hospitali ya Wilaya. Baada ya miezi miwili nilipewa barua ya kuhamishwa kituo cha kazi, hivyo nikaandika...
Kero yangu ni kuhusu Shirika la Bima la Taifa NIC (National Insurance Company)... kwanza walipita makazini kutoa orientation jinsi wanavyofanya kazi... baada ya kusaini zile karatasi za mahudhurio...
Habari za Asubuh wanajamii,
Tangu Shirika la USAIDS kufutwa hapa nchini na Mimi kuanza kutafuta ajira sehemu mbalimbali nimejionea mambo mengi sana. Kwanza kabisa kwenye suala la ajira na kuitwa...
Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya halmashauri ya wilaya ya Sikonge.
1. Katibu mkuu aliwandikia barua halmashauri zote zenye maelekezo maalumu kwa ajili ya fedha za...
Ndugu zangu napenda kujua hivi inakuwaje kwenye mfumo wa ajira portal nilifanya application nikawa shortlisted nkaenda written na oral nikaenda sasa ile application nilifanya sahivi kwenye ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.