Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,618
- 7,131
Habari wakuu,
Nahitaji mtu makini wa kutengeneza website ya biashara. Kwa sasa itakuwa maily ni static website, except page ya blog/news/media ambayo ni dynamic ambapo Admin ataweza kuwa anaweka taarifa inapombidi. ikiwa pia standby forms za kulogin, sign-up na comment sections (ifanye kazi) standby kwa ajili ya baadaye. Kikubwa kwa sasa iweze ku-display services zitakazofanywa na kampuni ambayo basically ni kampuni ya madini.
Website inahitaji ubunifu wa pages zenye kuvutia. Jumla ya pages muhimu ni kama 9 ambazo ni;

- Home
- About / Company profile
- Services (sub-pages au sections)
- Products / Minerals catalogue
- Projects / Case studies
- Compliance & Licenses / HSE (safety & environment)
- Investors / Financials (kwa uwekezaji)
- News / Blog / Media
- Careers - Kutangaza kazi
- Contact (na eneo / map) — inaweza kuwa page tofauti au footer
Kama kuna requirements zitakazohitajika basi atakuwa anawasiliana na mtu ili asikame. Mfano logo, company profile, company color code, theme na vingine atakuwa akipewa.
Ujira: TZS 200,000
Muda wa kazi kukamilika: siku 3-5.
Kwa mwenye kuhitaji hii kazi aje PM tuyajenge.