HWilaya ya Uyui haijalipa posho za kujikimu kwa ajira mpya huku viongozi wakitoa sababu zisizo na msingi.
Mara pesa haijaletwa na serikali, ilivyoletwa wakatumiwa barua ya TAMISEMI wanajibu tu...
Tunaomba msaada wa kutupazia sauti sisi Watumishi wa Ajira Mpya wa Januari 2026 wa Kada ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Mkoa wa Singida, ambao hadi sasa hatujapatiwa fedha za...
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kutatua changamoto hii.
Waajiriwa wapya wa sekta ya afya mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, tunaendelea kuzungushwa kuhusu...
Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja.
Hali hii inakatisha...
Mnamo tarehe 4 Juni 2026, Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitoa barua iliyoonesha kiasi cha fedha zilizotolewa kwa ajili ya malipo ya posho za kujikimu na nauli kwa watumishi wapya wa afya walioajiriwa...
Watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Mkoa wa Pwani, tulioajiriwa mwaka 2021.
Pamoja na kutimiza sifa na vigezo vya kupandishwa madaraja na mishahara kwa mujibu wa...
Watumishi wa Kituo cha Afya Mlimba kilicho chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba, tunapenda kuwasilisha kero yetu kuhusu madai ya muda mrefu ambayo hayajalipwa.
Tunadai malipo ya saa za ziada...
Habari za majukumu wana-JamiiForums,
Kampuni ya LINTUTRADE COMPANY LTD inayohusika na uuzaji wa mazao inapanua wigo wa huduma na bidhaa zake, hivyo tunatafuta vijana wachangamfu, wenye ushawishi...
Wakuu kuna yeyote humu anayefanya kazi au ana uzoefu na nchi za Balkans Albania, Serbia, Montenegro, Kosovo, North Macedonia n.k.?
Kwa professionals kama wahandisi je ni rahisi kupata kazi huko...
Ndugu wanaJF naomba Kwa yoyote kama Kuna nafasi ya kazi yoyote halali professional au unprofessional anisaidie nipo Kahama umri 32 nimeoa na elimi yangu ni Diploma in General Agriculture 0664984110.
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – MTAALAMU WA UFUGAJI WA KUKU (BROILER)
Tunatafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler) kujiunga na timu yetu.
Sifa zinazohitajika:
Awe na...
Tunaomba mfanye uchunguzi wa kina kuhusu utendaji wa Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri (TMO) na Katibu wa Afya wa Halmashauri ya Mji wa Nzega (Nzega TC).
Kuna malalamiko yanayoibuliwa kuhusu...
Watumishi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii katika Manispaa ya Temeke tunakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazotokana na namna idara yetu inavyoongozwa, hususan kutoka kwa Mkuu wa Idara na Mratibu...
Mimi ni mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto(ajira mpya).
Mpaka sasa tunadai hela zetu za kujikimu, ila tukifika kwa viongozi wetu wanatupa ahadi ambazo hazijawahi kutimia.
Tayari...
Ajira Mpya Halmashauri ya Mji Nanyamba hadi leo hatujalipwa pesa zetu za kujikimu, tunaishi maisha magumu na bado yanakuja masuala ya kitaifa kama mwenge tunaambiwa tuchangie wakati pesa zetu...
Mimi ni kijana mwenye umri 28 nipo iringa ni fundi sofa na vitanda vya sofa kwa pamoja, najua kutumia cherehani na kukata vitambaa kwa jiri ya kushonea sofa, hivyo kama Kuna mtu anahitaji mtu wa...
Habari poleni kwa kazi nzuri mnaifanya na inasaidia jamii waweze kupata haki zao kwa nyie kupaza sauti.
Mimi na wenzangu ni Watumishi wa afya Manispaa ya Ubungo, kero yangu ni kwamba tuliajiriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.