Afisa mikopo kwenye Microfinance anatafuta kazi

DALALI MKUU

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
2,574
Reaction score
6,119
Habari wakuu namleta mdau hapa anasema yeye anaomba kazi kwenye Microfinance yoyote kama afisa mikopo au nafasi nyingine yoyote.

SIFA ZAKE
ELIMU KIDATO CHA NNE NA DIPLOMA YA MASOKO
Ujuzi anajua vizuri kutumia Computer amewahi kujitolea sehemu kama Mhasibu miaka miwili (yaani kufanya kazi za kihasibu)
Anamewahi kuwa Marketing manager kwenye Taasisi kadhaa
Amewah kuwa sales Person pia

Umri sijui ila ana 28-30 hivi

Makazi DSM
 
Si akakope ajiajiri? Yeye anataka kumshauri wengine Tu ndio walipe yeye ale mteremko?😅😅
 
Afisa Mikopo ambaye yeye hataki mkopo ila anataka wenzie ndio wakope ale ganji😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom