Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Uandikishaji ulifanyika kwa siku saba kwa kupita kaya kwa kaya lakini wamelipwa kiasi cha sh. 50000 tu. kwa siku hizo zote. Tunaomba katibu mkuu wizara ya Afya atolee ufafanuzi suala hilo, Kwan...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Habari wakuu, Nahitaji mtu makini wa kutengeneza website ya biashara. Kwa sasa itakuwa maily ni static website, except page ya blog/news/media ambayo ni dynamic ambapo Admin ataweza kuwa anaweka...
2 Reactions
24 Replies
279 Views
Habari wakuu namleta mdau hapa anasema yeye anaomba kazi kwenye Microfinance yoyote kama afisa mikopo au nafasi nyingine yoyote. SIFA ZAKE ELIMU KIDATO CHA NNE NA DIPLOMA YA MASOKO Ujuzi anajua...
3 Reactions
10 Replies
169 Views
Ndugu zang mm ni mtu wa kazi kazi ilimradi pesa,,,,napenda kuwaomba ndugu zang wana JF kama kuna kazi yyte ya kibarua mimi nipo tayari kuifanya,,,,au Kama kuna connectio au mchongo wa kuingiza...
3 Reactions
21 Replies
302 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Anatafutwa afisa manunuzi mwenye masters ya procurement au mwenye Cheti cha CPSP. Ni issue ya haraka na hakuna gharama zozote za malipo. Mwenye vigezo na uhitaji aje DM haraka Asante.
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Tunatafuta wadada wa kuhudumia wateja katika Barbeshop yetu iliyopo Olasiti,Arusha. Sifa zinazohitajika  Awe smart na mwenye muonekano mzuri  Awe anajua kufanya scrub,Massage ya Kichwa na...
2 Reactions
0 Replies
65 Views
Anonymous
Watumishi wa ajira mpya Kada ya Afya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora hatujapewa pesa yetu ya kujikimu na uongoz wanajibu halmashauri haina mfuko mkubwa wa mapato tuendelee kusubiri ikiwa Serikali...
1 Reactions
4 Replies
89 Views
Anonymous
Mimi na wenzangu ni watumishi wa afya, ajira mpya, katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Tumeanza kazi tukiwa na matumaini makubwa, lakini kwa sasa tunapitia changamoto kubwa sana kuhusu fedha...
1 Reactions
6 Replies
117 Views
Anonymous
Watumishi wa RUWASA ambao tulikua kitengo cha uchimbaji mpaka leo hatuelewi hatima yetu ni nini, kwani toka tusikie kwamba Idara ya Uchimbaji imeondolewa RUWASA na kupelekwa Ofisi za Bonde, na...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Ajira mpya wa Halmashauri ya wilaya ya Same hadi leo hawajalipwa fedha zao za kujikimu, wengine wana mwaka, wengine wanakaribia mwaka lakini hakuna malipo ya fedha zao kujikimu na ni haki yao hata...
0 Reactions
2 Replies
144 Views
Anonymous
Ajira Mpya 2025 Simiyu Itilima DC hatujalipwa pesa za kujikimu mwaka sasa, tukiuliza tunaambiwa tupo kwenye mpango na kuonekana watovu wa nidhamu kama vile sio stahiki zetu.
0 Reactions
7 Replies
151 Views
Anonymous
Ajira Mpya 2026 Ruvuma - Namtumbo Kada ya Afya hatujapewa fedha ya kujikimu Ajira Mpya 2026 tuliopo Ruvuma Namtumbo Kada ya Afya hatujapewa fedha ya kujikimu ila kada zingine wamepata pesa zao...
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Anonymous
Sisi Ajira Mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya Kwimba, Mkoa wa Mwanza tuna karibia miezi sita sasa tangu tuajiriwe, lakini kila tukiulizia kuhusu fedha za kujikimu hatupewi jibu lolote, hii hali...
0 Reactions
1 Replies
86 Views
Anonymous
Watumishi wa Halmashauri ya Itilima (Walimu) hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025 Mimi ni Mtumishi wa Umma kutoka Halmashauri ya Itilima, kero yangu ni kwamba hatujalipwa hela ya...
1 Reactions
2 Replies
135 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya, muongozo wa TAMISEMI unaeleza kuwa inatakiwa tulipwe Siku 14 ila Newala wamelipa siku 7 na...
2 Reactions
3 Replies
142 Views
Anonymous
Halmashauri ya Kahama inachelewa kuwapa Watumishi posho zao za kujikimu imesababisha wale walioajiriwa Mwaka 2025 bado wanadai posho ya kujikimu na wapo waliopewa lakini sio hela yote, wamepewa...
0 Reactions
2 Replies
169 Views
Anonymous
Watumishi wa Ajira Mpya Idara ya Afya mwezi January 2026 Wilaya ya Uyui, Tabora hatujapewa Fedha ya Kujikimu na uongozi wanajibu "halmashauri haina mfuko mkubwa wa mapato tuendelee kusubiri ikiwa...
1 Reactions
1 Replies
94 Views
Anonymous
Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, kumekuwepo na kero ya kutolipwa stahiki zetu za likizo na posho za kujikimu ilihali hela zote zishatolewa Hazina na kuwekwa wilayani...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Back
Top Bottom