Upo sahihi mkuu wacha tuendelee kusubiri.Ungekuwa unapitia uzi pendwa usingekuja na haya malalamiko mtumishi wa umma.
Mpaka muda huu wewe tayari ni Afisa wa umma. Tuliza mpesha, acha papara, maafisa utumishi wanashughulikia jambo lenu. Kuchelewa kuanza kazi ni kawaida. Binafsi nilisubiri miezi takribani minne.
Subra ni ibada. Japo ulikosea kuacha kibarua mapema kwa kuwa hukujua, watu huwa wanaaga siku wakiitwa kuanza kazi. Nakumbuka siku naitwa kuanza kazi nilikuwa kwa tajiri yangu juu ya kigae nikifunga dishi la Azam.
All the best mkuu. Karibu Halmashauri ya Tanganyika.
HapanaMshahara wa June mmepokea..?
Basi hapo hadi Mwaka mpya wa fedha endelea kuvuta subiraHapana
Mwezi wa 7?Basi hapo hadi Mwaka mpya wa fedha endelea kuvuta subira
Yaaaah,, wakikaa vibaya hadi wa 8 mnaweza fikaMwezi wa 7?
Aisee wacha tusubiriYaaaah,, wakikaa vibaya hadi wa 8 mnaweza fika
😃Hiyo ni hatari zaidi au kuna mstaafu aliongezewa mkatabaNakumbuka nilikaa miezi 7 hahaha kuwa na uvumilivu japo inaumiza....
Hawaeleweki Cha muhimu kunywa maji mengi Kuna mda home watu wakaanza kuningonga mi itakuwa muongo hakuna kazi Wala nini aloooh.....😃Hiyo ni hatari zaidi au kuna mstaafu aliongezewa mkataba
😃😃😃Watu wanahisi mtu uliwapangaKuna dogo alikaa miezi 6 hadi tukahisi alitupiga changa la macho.
Sawa mkuuAcha mawenge
Hatukumuelewa, ukizingatia unajua mtu kapata kazi ila vizinga bado vinaendelea🤣🤣😃😃😃Watu wanahisi mtu uliwapanga
😃Daah aisee Mungu aingilie katiHatukumuelewa, ukizingatia unajua mtu kapata kazi ila vizinga bado vinaendelea🤣🤣