Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Vibarua wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wanaomba msaada kutokana na kuchelewa kulipwa stahiki zao. Hadi sasa, wamekaa miezi miwili bila kupokea malipo yao, huku wakidai hawajapewa...
0 Reactions
1 Replies
57 Views
Anonymous
Kuna unyanyasaji mkubwa na wa kutisha unaoendelea katika Wilaya ya Rorya dhidi ya wazee wetu wastaafu, hususan walimu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu. Kuna mtu mmoja anaitwa Adriano...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Ajira mpya ya Januari 2026 juu ya Halmashauri ya Monduli kutolipwa pesa za kujikimu ilihali serikali ishaleta na halmashauri zingine washapewa lakini sisi tunazungushwa kila siku mara tutume...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Anonymous
Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, hususan katika vituo vya mikoani, kuna malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi ambazo zinaonekana kutotumika ipasavyo. Kwa mfano, kuna vituo...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Anonymous
Watumishi tulioajiriwa mwezi Novemba mwaka 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga, bado hatujalipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu hadi leo. Baada ya kufuatilia suala hili...
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Anonymous
Wahandisi na wahitimu wa uhandisi nchini Tanzania tunaendelea kuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya taaluma ya uhandisi na namna inavyosimamiwa. Pamoja na kuwepo kwa Bodi ya Wahandisi Tanzania...
2 Reactions
0 Replies
59 Views
Nina degree ya computer science.nimefanya kazi shirika binafsi ila kwa sasa sina kazi...Kwa yeyote anaeweza kunipa njia ya wap naweza ajiliwa au kuniajiri ntashukuru.
1 Reactions
5 Replies
146 Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
Naombeni msaada nataka niwe winga wa laptop ila sijui chimbo naombeni mnielekeze wapi?...kwa kariakoo
0 Reactions
1 Replies
76 Views
Habari wanajukwaa. Kwa mujibu wa muongozo wa serikali wa uhamisho wa kawaida kwa watumishi wa serikali ni kwamba mamlaka yoyote inayotaka kuhamisha mtumishi ni lazima ijiridhishe kwanza ina fungu...
1 Reactions
1 Replies
247 Views
Anonymous
Walimu wa Sekondari wa Halmashauri ya Nanyumbu, Mtwara tuliohamishiwa kwenye Shule Mpya na Shule za Advanced Mwaka 2024 (mfano: Mkapa Girls, Rukumbi, Nangomba na Nanyumbu) hatujamaliziwa malipo ya...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Anonymous
Watumishi wa Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, tumekuwa tukikumbana na changamoto ya kubadilishiwa vituo vya kazi bila kufuata taratibu stahiki. Aidha, watumishi wanaohamishwa hawapewi...
2 Reactions
3 Replies
139 Views
Anonymous
Kuna changamoto katika Nanyumbu District Council inayohusu ucheleweshaji wa malipo ya gharama za uhamisho kwa watumishi, hususan walimu wa sekondari. Hali hii imekuwa ikileta usumbufu mkubwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Wamesema watumishi uhamisho ni kwenye mfumo wa ESS, Watu tumepata wa kubadilishana nao, uhamisho unasoma TAMISEMI muda sasa lakin hakuna vibali hadi tunaobadilishana nao wanataka ku-cancel maombi...
0 Reactions
3 Replies
331 Views
Anonymous
Watumishi wa afya Babati tunahamishwa sana tena kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho, inatakiwa ulipwe ndio uhamishwe kwenda kituo kingine lakini tunashinikizwa kuhamishwa na...
3 Reactions
15 Replies
451 Views
Anonymous
Katika Halmashauri ya Mpimbwe, kuna malalamiko kwamba kuhoji matumizi ya fedha za umma kunachukuliwa kama kosa badala ya njia ya kuimarisha uwajibikaji. Inadaiwa kuwa Katibu wa Hospitali ya...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Anonymous
Katibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mpimbwe amesimamishwa kazi na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe baada ya kuhoji masuala yanayohusu malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Anonymous
Ofisi ya RAS Mkoa wa Mara inakaa na maombi ya uhamisho ya watumishi zaidi ya wiki mbili sasa bila kuyapitisha kwenye mfumo wa ESS. maombi yangu ya uhamisho toka tarehe 1/6/2026 hadi leo bado...
1 Reactions
6 Replies
320 Views
Natafuta mwalimu wa kubadilishana aje kondoa DC mkoa wa Dodoma mimi niende Morogoro-Dumila,Mvumero au manispaa namba ni 0692311611
1 Reactions
4 Replies
437 Views
Business Development Executive (Sales) Location: Dar es Salaam Promo Pro Africa Limited is looking for a highly motivated, ambitious and results-driven Business Development Executive to help...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Back
Top Bottom