Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

I'm very glad for jammiiforums members to said that shortly required the post above having experience in the field as contractor or consultant firm for a minimum of 5yrs consecutively in the busy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi wana jf. Hivi kwenye interview ni bora ukawa wa kwanza kufanyika au wa mwisho na kwanini? I mean (faida ziko upande upi)
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana niliona kwenye ITV habari za saa kwamba kuna kikundi cha profesition wasio na kazi (GPD) jamani tunijiunge na kundi hili,mwenye taarifa wapo wapi atoe habari.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
TANGAZO LA KAZI HARAKA SANA. TANURI MEDIA CAMPANY Inawatangazia nafasi za kazi kwa vijana watanzania (Jinsia zote) na wenye elimu, sifa na Ujuzi na wenye kujituma. Vijana hawa watafanya kazi...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
wana JF wenzangu naombeni kuuliza mimi ninadiploma ya journalism je ninaweza nikapata kazi kwenye makampun ya mawasiliano kama airtel, voda, tigo...... na jinsi gani ninaweza kupata naombeni...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Hello wakuu, Naomba mnichambulie kwa kina katika hili, kati ya kujiajiri na kuajiriwa katika mazingira yetu ya kitanzania bora lipi?? Natanguliza shukurani zangu wakubwa.
0 Reactions
57 Replies
14K Views
Mimi ninakipaji cha kuchora, ila sina vifaa. Na pia uwezo wa kufanya kazi zikawa nzuri na za kuvutia bado ni mdogo, kutokana na kutojishuhulisha mara kwa mara na kazi hii. Nina marafiki zangu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naombeni mnisaidie eti nafasi za police kwa ngazi ya diproma na degree zimetoka?? plz plz msaada wenu
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Guardian la Ijumaa 4-May-2012 kuna tetesi wametangaza kazi za Bandari Tanzania...... Mwenye gazeti atujulishe je hizo kazi zipo kwenye gazeti hilo au aliyeniambia hakuwa na uhakika? Tusaidiane...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
APPLICATION FOR POSTGRADUATE SPONSORSHIP Written by Administrator Wednesday, 11 April 2012 14:36 The Ministry of Health and...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForums Tafadhari mwenye uelewa juu ya kufungua organization ambayo inakua kama charity plz naomba msaada, maana mimi na wenzangu wa hapa TZ na UK tunataka fanya hichi kitu plz...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Find Jobs Vacancies In Nigeria Daily recruitment-nigeria.com Jobs Vacancies In Nigeria Accounting Jobs Vacancies In Nigeria Banking Jobs Vacancies In Nigeria Engineering Jobs Vacancies In...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta mtu wa kunidhamini ili niweze kutoa albam yangu ya nyimbo za dini,nyimbo ni nzuri nina uhakika zitauzika kwani zina ujumbe mwema!BARIKIWA1
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna kipindi tanapa walitangaza nafasi mbalimbali za kazi. Lakini mpaka sasa sielewi mchakato wa mzima ulikwendaje? Mwenye kufahamu anijuze.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
http://www.tz.undp.org/docs/Advert%20LSA%20-%20UNDSS.pdf
1 Reactions
2 Replies
3K Views
JOB TITLE: COUNTRY MANAGER-UGANDA REPORTS TO: NATIONAL SALES MANAGER DUTY STATION: UGANDA Role Purpose Statement: - To sell Precision Air products and network to achieve the set sales and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Utamaduni wa kazi na ajira ulianzishwa na wakoloni, miaka hiyo tuliwafanyia kazi bure bila ujira, unapoulizwa uzoefu maana yake kama miaka ya uzoeu ni muhimu mtu mwenye umri wa miaka mia hamsini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF. Naulizia kama COASCO na Wizara ya ushirika wameita watu interview? COASCO ilikuwa assistants auditors na wizara ilikuwa maafisa ushirika daraja la II. Msaada please!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau wa Jf!! Nimetumiwa sms juu ya uwepo wa interview ya Accessbank itakayofanyika Msimbazi Centre Ijumaa saa 1:30 PM je ni kuna mwingine aliyepata ujumbe huu?nataka kuhakiki...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Job Title: System Administrator Duties and responsibilities • Operate, provide instant support and deal with trouble shooting in the existing systems e.g branch operations, E-mail, internet...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom