Changamkia ajira hiyo: Wanahitajika wafanyakazi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changamkia ajira hiyo: Wanahitajika wafanyakazi.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mbaga Michael, May 1, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,889
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  TANGAZO LA KAZI HARAKA SANA.
  TANURI MEDIA CAMPANY
  Inawatangazia nafasi za kazi kwa
  vijana watanzania (Jinsia zote) na
  wenye elimu, sifa na Ujuzi na
  wenye kujituma.
  Vijana hawa watafanya kazi na
  TANURI MEDIA COMPANY pamoja
  na Media house nyingine zitakazo
  shirikiana na TANURI MEDIA.
  Sifa za mwambaji:-
  Awe angalau na degree moja
  katika fani zifuatazo.
  1. Sayansi ya jamii ( sociology)
  2. Sayansi ya siasa na utawala
  (political science and public
  administration)
  3. Sayansi ya siasa na uhusiano
  wa kimataifa
  (political science and international
  relation)
  4. Sanaa na historia (BA History)
  5. Sanaa na utamaduni (BA art
  and Culture)
  6. Sanaa na mawasiliano ya umma
  (BA mass communication)
  7. Biashara na utawala (BBA,
  business administration)
  Jumla ya Vijana wanaohitajika ni
  15.
  Katika hili maslahi na utashi wa
  kisiasa hayatazingitiwa ila
  TALUMA ya Muhitaji.
  Maslahi mazuri yatatolewa kwa
  watakaofaulu udahili.
  Maombi na CV vitumwe kwa
  anuani hii hapa
  Kabla ya tarehee 15 mwazi wa
  tano.
  (Kwa maelezo zaidi piga simu kwa
  C.E.O-TANURI MEDIA COMPANY)
  TANURI MEDIA COMPANY
  Media and insemination of
  information
  P.O. Box 104655
  DAR ES SALAAM TANZANIA
  .
  +255 784 26 64 30
  tzmedia25@gmail.com
  www.tanurilafikra.com
   
 2. m

  missilicious Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  deadline lini? ofisi ziko wapi?
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 135
  Soma vizuri, deadline ni 15 may, labda mahali ofisi zilipo
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,985
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  mbona tuliosoma medicine mnatubagua? Hamuhitaji daktari wa kampuni?
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,552
  Likes Received: 14,956
  Trophy Points: 280
  mkuu mheshimiwa umesoma medicine halafu huna kazi?? kweli? unatafuta kazi?
   
 6. Y

  YUSHIN Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  B.com inahusika hapo mkuu maana nimeona BBA ambayo ni sawa na B.com
   
 7. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,043
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Labda wafanyakazi hawaugui huko.
   
 8. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  mbona maelezo hayajitoshelezi? kwa hizo degree pprograms ulizotaja,waombaji wanatakiwa wajue ni kazi gani wana-apply kwa sababu kuna watu wanakuita kwenye interview lakini unakuta ni kazi ya ajabu...be clear,ni kazi gani hao watu watatakiwa kufanya,duties zao,na kadhalika....nawasilisha
   
 9. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mh sijakusoma kwani wewe uko huko au
   
 10. g

  gayo JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  B.A.education je? History ni teaching Subject sifai?
   
 11. f

  fered mbataa JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 240
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  twambie position zilizopo
   
 12. paty

  paty JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,212
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  iyp email mbona inarudisha failure notice ??
   
 13. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,268
  Likes Received: 516
  Trophy Points: 280
  hamna source ya hili tangazo?
   
 14. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hili tangazo mbona limekaa 'ki-bijampola' zaidi? Ntarudi baadae, I hope maswali yaliyoulizwa yatakuwa yamejibiwa. Otherwise, asante kwa tangazo.
   
 15. King2

  King2 JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tapeli tu huyu.. Anawa enjoy tu.
   
 16. R

  RONALDO Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi napita 2
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  I'm king kong wa tatu,I'm married with three creeds,I'm politician heaving noleji in politiko sayansi and intaneshino rileshenishipu,can you apply for me this post? Remember I'm kappabetta member,I'm verry glad I'm vere sorry to apply this post! Thank me you!
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,586
  Likes Received: 5,807
  Trophy Points: 280
  Tangazo la kazi halina "Job Description" ?
   
 19. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,465
  Trophy Points: 280
  Itakuwa kuuza ma-hotpot
   
Loading...