Naombeni msaada juu ya hili pls


Wa Bagamoyo

Wa Bagamoyo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
119
Likes
0
Points
33
Wa Bagamoyo

Wa Bagamoyo

Senior Member
Joined Apr 2, 2012
119 0 33
Habari wana jamii forum tafadhari mwenye uelewa juu ya kufungua organization ambayo inakua kama charity plz naomba msaada, mana me na wenzangu wa hapa TZ na UK tunataka fanya hichi kitu plz wadau naomba ushauri wenu
 
Wa Bagamoyo

Wa Bagamoyo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
119
Likes
0
Points
33
Wa Bagamoyo

Wa Bagamoyo

Senior Member
Joined Apr 2, 2012
119 0 33
Pls jamani ushauri wenu ni muhimu
 
S

Saskatchewan

Senior Member
Joined
Oct 16, 2011
Messages
151
Likes
7
Points
35
S

Saskatchewan

Senior Member
Joined Oct 16, 2011
151 7 35
Ushauri wa namna ya kuanzisha au?
 
Wa Bagamoyo

Wa Bagamoyo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
119
Likes
0
Points
33
Wa Bagamoyo

Wa Bagamoyo

Senior Member
Joined Apr 2, 2012
119 0 33
Vitu kama hivyo na pia kutaka kuipa publicity
 
che-guavara

che-guavara

Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
59
Likes
3
Points
0
che-guavara

che-guavara

Member
Joined Jul 6, 2011
59 3 0
organization ambayo ni charity lazima isajiliwe na msajili wa vyama vya hiari, ubainishe madhumuni yake (yasiwe biashara) kama biashara uanzie msajili wa makampuni.pili iwe na ofisi inayotambulika na majukumu yasipingana na sheria au taratibu za jamhurithanks
 

Forum statistics

Threads 1,272,942
Members 490,211
Posts 30,465,304