nafasi ya kazi kwenye makampun ya simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nafasi ya kazi kwenye makampun ya simu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by neema pita, May 7, 2012.

 1. n

  neema pita Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana JF wenzangu naombeni kuuliza mimi ninadiploma ya journalism je ninaweza nikapata kazi kwenye makampun ya mawasiliano kama airtel, voda, tigo...... na jinsi gani ninaweza kupata naombeni msaada na ushauri pia
   
 2. King2

  King2 JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Vodacom nenda pale Erolink utaacha Cv then watakuita kwenye interview, Airtel nenda pale makao makuu morocco, Tigo peleka Cv infinity hapo hapo morocco.
   
 3. R

  RONALDO Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Peleka cv zako kwenye makampuni hayo
   
Loading...