Je wajua uhitaji wa uzoefu kwenye ajira ni chanzo cha kudumaza uvumbuzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wajua uhitaji wa uzoefu kwenye ajira ni chanzo cha kudumaza uvumbuzi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by environmental, May 5, 2012.

 1. e

  environmental JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Utamaduni wa kazi na ajira ulianzishwa na wakoloni, miaka hiyo tuliwafanyia kazi bure bila ujira, unapoulizwa uzoefu maana yake kama miaka ya uzoeu ni muhimu mtu mwenye umri wa miaka mia hamsini (150) atakuwa na uzoefu zaidi, lakini kiuhalisia mtu huyo atakuwa amezikwa kabla hajatimiza umri huo.

  Nchi zinazoendelea zimejiwekea akiba ya kutosha kwenye tafiti na maendeleo. Kujifirikisha ili uvumbue kitu au njia mbadadala ya kufanya kazi fulani kunahitaji changamoto na kujifirisha upya.

  Uzoefu unaweza kuwa mara nyingi kufanya kitu kile kile bila mabadiliko. Naona afrika tumewaiga wazungu hasa waingereza katika maisha yetu ya kila siku naamini tanzania itakayo kuwa mfano wa kuigwa katika ulimwengu huu juu ya kuishi kwa mawazo mapya na mpangilio tofauti wa kujenga taifa kwa kujitegemea kimawazo na kiuchumi.

  Ni muhimu kuwa na watu wasio na uzoefu ili wajifunze jinsi ya kufanya kazi.
   
 2. sam2000

  sam2000 JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  I support you, this idea of experience though to some extent beneficial but it kills creativity to many!
   
Loading...