Kama unawafaham jiunge wanasaidia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama unawafaham jiunge wanasaidia

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by liverpool2012, May 3, 2012.

 1. l

  liverpool2012 Senior Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana niliona kwenye ITV habari za saa kwamba kuna kikundi cha profesition wasio na kazi (GPD) jamani tunijiunge na kundi hili,mwenye taarifa wapo wapi atoe habari.
   
 2. Chibidu

  Chibidu JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Unaruhusiwa ku-edit hiyo habari yako, haijaeleweka kama unauliza ili upate msaada au unahamasisha watu. Kama unahamasisha, je unawezaje kuhamasisha kitu ambacho wewe mwenyewe huna uhakika nacho?
   
 3. E

  Eberhard JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,024
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  chibudu uko sawa kabisa jamaa hajawa clear.
   
 4. l

  liverpool2012 Senior Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebana m niliona ITV nakatamani kujiunga na hicho kikundi so mwenye taarifa anipatie.
   
 5. d

  debito JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  bado hujaeleweka na unachapia sana kiingereza na hata kiswahili inaonyesha ni tatizo kwako
   
 6. e

  edwin monyo Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nenda kwanz short cors ya kuandika ndy ujiunge na hicho unachokitaka
   
 7. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,125
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  daaaa,nimeamini,kweli tenda wema uende zako!!!
   
 8. Z

  ZeTicha Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo mana mpaka sasa hana ajira huyo
   
 9. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  umakini unahitajika kwa kila jambo ulifanyalo, daima mtu makini mambo yake hufanikiwa! Mkuu, hujawa makini kuandika ulichoandika, thus why wengi wamesema hawajakuelewa unataka nini!
   
 10. nameless girl

  nameless girl JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 3,905
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  anahitaji msaada, lugha za kashfa zitamkatisha tamaa, do wat u can to make people proud of u sir/madam
   
 11. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hakuna aliyejipanga hapo cha muhimu wasiliana na ITV kwa kuboreshewa jambo hilo ASAP
   
 12. +255

  +255 JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Unaonaje ukianza wewe "Cors" ndo nini?
   
 13. I

  Ichimuisebu Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njooni niwaajiri mnifugie Viti Moto
   
Loading...