Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau naomba kuuliza, tuliitwa kwenye Interview na hawa jamaa wa ABG kwa nafasi ya CCTV OPERATOR tarehe 26/04/2012, wakasema watatujulisha?? So nauliza kwa yeyote ambaye amepewa feedback????
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi naomba nijulishwe,usaili kwa walioomba kazi[nikiwemo] katika jeshi la magereza ni lini,na tutajuaje kuwa leo ndo usaili? Maana siku tunapeleka barua za maombi walikuwa wanakusanya tu na...
1 Reactions
5 Replies
10K Views
dah mazee ile nyomi niliyoikuta pale msimbaz centre ktk interview ya access bank ni kiashilio tosha kwamba vijana tumeshikwa pabaya kwa hili sakata la ajira.watu ni zaidi ya miatatu na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamvi, naomba msaada wa taharifa juu ya Nani namwandikia,,post ninayoomba na taharifa nyingine muhimu.. Mim ni form 4 leaver.. Pls help..
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Nimepewa taarifa ya kuwa katika gazeti la habari leo na daily news ya jana tarehe 30.5.2012 kuna nafasi za kazi za maafisa tarafa 145 nchini TANZANIA. Naomba aliyebahatika kupata magazeti hayo...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wandugu hivi mtu mwenye degree Police anapokea ngapi kwa mwezi Nataka niende ila nasita.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Poleni na miangaiko yenu wan JF naombeni lakini msaada wenu kidogo ivi niki soma degree ya Public Relations and marketting kweli ntaweza kuchukuliwa kufanya kazi inayousu Marketing naombeni msaada...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jaman, mtu anayedeal na kutengeneza business cards naomba anipm haraka. Ubora wa kazi na unafuu wa bei unazingatiwa!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nime gusiwa habari za uhakika kwamba UN Mission ya South Sudan (UNMISS) inaanza kutangaza jobs za UNV kwenye fani tofauti tofauti ikiwemo IT, Engineering, Transport, administration, n.k. The...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
wadau AccessBank wanalipaje ma loan officer?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wadau! nawaombeni kwa mtu yeyote anaefahamu sehemu zenye nafasi za kazi za Migodini naombeni mnijuze manake nisha-fight lakini hali bado ni tete! nina DIPLOMA IN MINING ENGINEERING...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu,mimi ni mwalimu niliyehitimu mafunzo ya ualimu SHAHADA,BA.Ed mwaka jana.february mwaka huu nikapangwa katika ajira ila nimechelewa nikaripoti april,nimeambiwa hakuna pesa za...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau naulizia kwa wenye uzoefu na Access bank,interview ya kwanza huwa inakueje(oral au written) coz wame n sms niende kufanya interview,na je kama ni written huwa ni maswali gani?,au ndo general...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
TOTOLUCK na ZOOM nitagulize kutoa shukrani kwa juhudi mnazofanya kuleta matangazo ya kazi. pamoja na hilo nina hojaifuatayo: TOTOLUCK na ZOOM yako mnalostisha waombaji. hebu elekeza namna gani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/B/78 30 Aprili, 2012 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Sekretariati ya Ajira katika...
2 Reactions
1 Replies
13K Views
katika harakati za kutafuta kazi nilikutana na rafiki yangu ambaye tulisoma naye shule moja olevel,akaamua kunipigia pande kwa jamaa mmoja benki!! nikaambiwa nipelekee cv haraka,kweli siku ya j3...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Wadau, Changamkieni hii position kwa wale wanaoqualify. Muhimu kuzingatia highlight kwenye expirience. Hiyo ndio criterai yao kubwa. Nawatakia applications njema. Caren. POSITIONS ADVERTISEMENT...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 29, nina Advanced Diploma in Accountancy toka IFM yenye GPA ya 4.2, nina CPA na MBA. Ninapenda sana kufundisha vyuo lakini nimekuwa nikikutana na ugumu kutokana na kuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilifanya usaili na hawa jamaa wanaojiita erolink,baada ya kumaliza taratibu zote wananiambia kwamba wao ero link ndio watakao niajiri,halafu duty station yangu itakua kwenye hiyo kampuni husika...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Description Teachers have described the teaching environment at Iringa International School as ideal. Classes are small and students are serious about learning. They and their parents consider the...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Back
Top Bottom